PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
πŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1746635112980.jpg
    38.6 KB · Views: 16
Kwa sababu hawajahama nchi na wao wamemuuzia mbuzi Lissu kila la kheri waendako wakapate uteuzi na Makala awe bosi wao.
 
Safi sana,, uhuru wa Tanganyika uko karibu.

God bless Tundu Lissu
 
G55 wanaakili kubwa kuliko kina Lema na genge lake
 
Mbona mpo wengi sana nyumbu zake na mfano wa hao vuvuzela ni wewe hapo.
Mimi nakupa na ushahidi kuwa kunguni wa mama wapo na mnajulikana sasa kazi kwako niletee hichi kitu kwa upande wa Lissu

Wewe sio chawa kwa sasa umehitimu degree ya juu ya uchawa hivyo ni kunguni wa mama.
 
Baada ya mapambano ya muda mrefu sasa wamefanikiwa kuivuruga chadema .
binafsi yangu siwalaumu chadema hata kidogo.wamepambana vita vingi kuanzia kwa kikwete,magufuli mpaka leo kwa samia.wanahitaji pongezi
 
WAKWENDREEEEE TENA WAKIMBIE KABISA WACHUMIA TUMBO HAO....
MBWA WAHED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…