PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nani kafukuzwa !?? Msimamo ni ni reform no election hautaki ..nenda ...mbona CCM wameadhibu waliopinga Mama yenu kupita peke yake...
Na wao wameondoka kifreshi tu. Naomba na wengine waondoke. Huenda kwa njia hii Watanzania wakawaamini sana! Ahahahahaha
 
Sisi tuliwajua kupitia Chadema, waende wanapoenda hilo ndio Anguko lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…