TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Uko nchi gani ndugu?Tatizo kwani ni nini, tiririka mleta mada ili tuelewe, umetuwekea mgomo lakni haujasema chanzo ni nini.
CCM must go!Safi sana
Swala la poor calculation litakuwa linahusika hapa, kinachoingia kidogo, madai yanakuwa makubwa triplex, nadhani ndio tatizo hapa, uchumi wa watu ni mdogo mno kuweza kulipia bima stahili. Pamoja na serekali kuweka viwango vyake!, Mambo ya bima huwa hayapatani na nchi zenye uchumi duni hasa kwa wananchi wake walio wengi.Ummy na bosi wa NHIF waliwe vichwa, kazi imewashinda. Alafu ndio huyuhuyu anakimbilia kutaka bima ya afya kwa wote, kama hii tu ya wafanyakazi inawashinda hiyo ya walala hoi wataiweza? Upumbavu mtupu.
Kila jambo kutaka kufanywa kuwa la kisiasa madhara ndo haya.
Swrikali itangawe kuwapatia ruzuku kwa ile ziada inayoongezeka kwenye hitaji la matibabuView attachment 2920691View attachment 2920692
View attachment 2920693
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
hizi hospitali ni za ajabu wamehusishwa mwanzo mwisho,kwenye mchakato mzima wa kutengeneza kitita hichoView attachment 2920691View attachment 2920692
View attachment 2920693
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.