Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

Kauli ya Mwenezi ikoje hadi sasa🤣🤣acha kwakua wanufaika wakubwa ni watumishi wa Umma ambao ndio wanaosaidiaga sisiemu Acha wakione chamtemakuni
 
Yako mambo mengi nyuma ya pazia yanayoendeshwa kisiasa,kwa muda mrefu raia/taasisi binafsi zmeyakalia kimya,now watu wanaamka kui_challenge gavoo,hii ni bad alert kwa mama.Suluhu itafutwe as soon as possible
 
Tatizo sio bei elekezi kwenye hili suala ,tatizo ni malipo ya huduma toka NHIF hayalipwi kwa wakati na ndicho kiini cha tatizo, NHIF ni failure , pesa za mfuko zimekombwa na serikali kwenda kufanya upuuzi wanaojua wenyewe + incompetence ya uendeshaji wa shirika lenyewe
Once a failure always a failure
Hii ni zero

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…