Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Duh Kairuki na TMJ ndio hospital zilizo karibu na mimi na ndio nazitumiaga kulata huduma za afyaView attachment 2920691View attachment 2920692
View attachment 2920693
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.