Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Kuna msichana mmoja atakayemwoa atakuwa kaoa wife material.. alikuja kwangu na tray la mayai (mayai 32)... kwao wanafuga kuku wa mayai.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mwingine nilikuta Ganda la P2 chini ya uvungu kumuuliza akanilazimisha kuwa ni mimi ndio nimekunywa tena akafoka kua najizuia kushika ujauzito wake… yule jamaa aling’ang’ania sana.. huwezi amini alinilazimisha nikubali wakati hata hizo p2 sikuwahi kuzijua wala kutumia

Wanaume mtachomwa na gas
 
Sasa ulitaka akwambie kuna dada alikuja hapo geto kwake kusalimia?😁
 
Ndugu ndio anilazimishe ni mimi aisee nilijisikia vibaya
Ilitakiwa ukubali ndivyo tunataka.... Hujui mwanaume hata kama amekosea anaombwa msamaha yeye?

Ukikubali maana yake anaamini unaweza kuyabeba matatizo yake kama yako...
 
Tokeni hapa
Huo ndio uhalisia....ukiweza kubeba matatizo ya mwanaume wako kama yako hawezi kukuacha kamwe... Atahangaika lakini mwisho atarudi kwako kukukabidhi chochote Mungu alichombariki.
Yaani atakua dhaifu kwako na atakufanya namba 1 ndipo wafate wazazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…