Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua. Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa. Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa... kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Mama Samia dawa ni kukataa Kama TRUMP

Mfano Mimi naweza ombwa kitu nikakataa frankly speaking be gentleman 😊 😅
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Jinsi ulivyo hauna tofauti na ⏰100.Na hili ukalitazame.
Unatakiwa upigwe makofi ya masikio uache ujinga
 
Zamani sisi tulikua tunahamishia nguo kwa wanaume kisha tunahamia,, kumbe sikuhiz nguo za wanaume zinahamishiwa kwa wanawake kwaio inamaana..........
Mzee mwenzangu kuna shogaako alikuja amevaa pedi nikaitoa nikaitupa chini ya uvungu nikapiga hivohivo alipoondoka nikasahau kuitoa baada ya siku chache akaja mchumba wangu ambae ndio mke wangu kwa sasa akaikuta, akaleta noma lakini mimi nikamlazimishia yeye ndio aliiacha.

Alikubali tu na maisha yakaenda 😁
 
Mzee mwenzangu kuna shogaako alikuja amevaa pedi nikaitoa nikaitupa chini ya uvungu nikapiga hivohivo alipoondoka nikasahau kuitoa baada ya siku chache akaja mchumba wangu ambae ndio mke wangu kwa sasa akaikuta, akaleta noma lakini mimi nikamlazimishia yeye ndio aliiacha.

Alikubali tu na maisha yakaenda 😁
Hahahaha 😂 aseeee sema aliamua tu kukupotezea bwan hahahaha nmechekaa
 
Back
Top Bottom