Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Kuna jamaa yangu yeye alinunua mtungi wa gesi demu kaja kabeba.siku nyingi e kaja magetoni kwake na mdogo wake wa kike kakuta kitandani mwamba kanunua ile suruali ya matobo mdogo mtu akachukua na beby wake kabeba tshirt aisee na redio kabeba.dwmu alijua kumkanda jamaa.mshahara ukitoka demu anapakiana nae kwa boda kwenda atm.nlikua nacheka balaaa demu mwenyewe malaya tu maku nje nje
 
Ms R siku uje ujaribu kubeba feni tu nitakunyoosha kidole mpaka usitamani kuja tena
 
Tatizo lipo kwako wala usiwalaumu.

Mjinga mmoja aje kwangu atake kuondoka na mali zangu nimuangalie tu haiwwzekani! Labda demu wangu sababu napata utamu na tulizo la moyo .
Siku ikitokea huyo nitamwitia mwizi wampige wamchome moto
Huwezi
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Kwenye vikao vyetu tutakuachia kweli daftari si watalibeba pia
 
Back
Top Bottom