Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Nadhani hili swali ulitakiwa ujiulize ww maana mwanaume anaye pata mlo kamili na aliye kamilika hawezi kujiita mama samia au kupelekeshwa na visichana vya mitaani mpaka una kuja kulalama mtandaoni.
Chukua kaa la moto tia kinywani itakusaidia kupunguza ujinga.
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Sasa kama ndugu yangu mama Samia unalalamika🤣je mimi na makutupora au Intelligent businessman 🤣tusemeje majobless Promax watu tunawaza kuuza had uduvi mkono uende kinywani
 
Wa hivyo usiwalete tena home,nenda nao lodge wakileta maswali waambie wakija kwako wanaondoka na vitu vyako.
 
Back
Top Bottom