Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Ebu picha ya Hiyo Prova coz kuna kdem Kimenbles Prova
 
Sio wote tuna Njaa na tamaa kama mademu zenu mkuu
,. By the way sijai enda nyumbani kwa mtu sio tu kubeba chochote wala kukanyaga nyumbani kwa Jamaa yeyote yule sijawahi
Sasa mechi zinachezwa neutral ground kila mara kweli?🤣
 
Kuwa mkali ,inaonekana we mpole Sana,YAANI MPAKA Brenda ujue huko Mbali sana
 
Ungeoa msukuma kama mimi ungekuwa huru kweli kweli tatizo hamtaki kuoa alafu mnaingiza madsmu ndani ili msifiwe na majirani mnapiga pazuri kumbe mnaumizwa vizuri
 
Mimi leo tu asubuhi mwanamke kaondoka na jersey yangu pendwa na ni mara ya pili hii kubeba kitu kwangu. Nilimaindi sema ndio hivyo tena nguvu ya kumkatalia ilikuwa ndogo kuliko ile ya kuonesha "NAJALI"😃😃
 
Kiranga aisee same case kabisa ,ila nimegundua ,ukiwa na vitu unique madem hawaviachi
Hahaa, na wewe JBL ilitaifishwa mkuu?

Ila mimi nilifurahi aliifurahia tu, kwa sababu yeye anapenda sana zile za kuchomekea masikioni, alishaninunulia mpaka za Bose za kuchomekea masikioni (earphones).

Ilikuwa kama hataki kabisa za kuvaa masikioni (headphones).

Ila alivyozikuta zangu akabadilika akazipenda na kuzitaifisha.
 
Mnadate watu wa ajabu ajabu sana kwa kweli.hao ni wale choka mbaya wa mbagala au sijui mwananyamala..typically swahili and uncivilised
 
Jbl ndio imeenda soon ndio nimeagiza product ingine nikitegemea kuipokea leo au kesho kutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…