Baadhi ya kina kaka/baba acheni kelele na ukorofi

Mimi bibi yenu wadada wote humu. Aliyenizidi ni @mamdenyi peke yake
Sikujua, kuwa picha yako hapo unaonekana mdogo mnooo, kwa hiyo shikamoo bibi au nimekukosea kusema shikamoo.πŸ™πŸ™
 
Kutongozana sio vita

Ombi la mgegedo likikataliwa sio kesi

Mwenye anakusudia kufunga ndoa bila kujaribu mitambo ni shujaa.
 
Kutongozana sio vita

Ombi la mgegedo likikataliwa sio kesi

Mwenye anakusudia kufunga ndoa bila kujaribu mitambo ni shujaa.
Usijali watanielewa vizuri tu.
Sasa hivi wamecharukwa, watatulia muda sio mrefu. πŸ™πŸ™
 
Kutongozana sio vita

Ombi la mgegedo likikataliwa sio kesi

Mwenye anakusudia kufunga ndoa bila kujaribu mitambo ni shujaa.
Halafu sasa huyo muhusika hata habari hana, sasa wao wanakereka nini kama sio utahira au njaa. πŸ™πŸ™
 
njia unayotumia utaleta mirejesho Mingi Mkuu. aina ya Mwanaume unayemhitaji wote washachukuliwa tafta mwenye afadhali kodogo ruka nae, alafu umri unaohitaji pia wengi midudu ishakuwa Screpa. shusha umri mpaka 30-35. ushauri tu. labda kama unahitaji mtu wa kupiga nae story
 
Aisee, kwahiyo inabidi ufanyiwe interview kwanza, na ukifeli majibu yako yanaanikwa hadharani..

Ukimpata tualike kwenye karamu yako.
 
USITOWEE NAMBA... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yani tumekutana humu mutandaoni alafu wunataka kunijua wundani hapana bura tuwachane.
 
USITOWEE NAMBA... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yani tumekutana humu mutandaoni alafu wunataka kunijua wundani hapana bura tuwachane.
Ha haaaa haa we riki wewe
 
Ila dada kila nikijaribu kukuelewa akili yako akili yangu inakataa...
 
Ha haaaa haa we riki wewe
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€nimecheka sana wanasema ukitaka kumuumiza msichana kisaikolojia acha kumpa attention...!! anyway sijaona kosa la jamaa vile tu wadada wanaonaga wanaume wote wa mtandaoni matapeli ila hao hao bado wanatafuta wanaume mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…