Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hapo ndio utajua wanawake hatueleweki.,ukiingia love connect 80% ya wanaotafuta wachumba ni wanawake,wanawake hao hao ndio tunalalamika wanaume wa mitandao ni matapeli,sasa sijui ina maanisha nini?I think most of the time when it comes to love affairs ladies tunakuwa so desparate and attention seeker.....tukikosa hivyo vitu matokeo ndio kama tunavyoshuhudia hapa😀 😀 😀nimecheka sana wanasema ukitaka kumuumiza msichana kisaikolojia acha kumpa attention...!! anyway sijaona kosa la jamaa vile tu wadada wanaonaga wanaume wote wa mtandaoni matapeli ila hao hao bado wanatafuta wanaume mtandaoni