Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

Ndugu yangu Nungwi,

Aisee nimewahi kufika kwenu Nungwi, nilienda mapumzikoni, kama kawaida watu wa kule bado ni masikini huku watalii wakiwa wanakuja na kulipa mamilioni, hela zoote zinaenda Italy kwenye wenye hoteli. Kama ukigombea ubunge surely watakupa, na maisha yao yataendelea kuwa duni na duni.

Unajua kwanini serikali wanaingia mikataba kama ya Richmond?, IPTL, Songas n.k??!!!!! kwanini inarudia makosa kila siku?, wakati madaktari wamejaa wa nyanja zoote kwenye Falsafa?, Dk Mzindakaya, Ushauri wa Profesa Warioba wa MU, Dk Nchimbi, Dk Kamala?

Sababu kubwa ni kuwa ni product za MBA za kufyatua!, kwa jinsi ulivyoeleza inaelekea MU ni Degree Mill. Duh! thanx man umetufunua macho wengine humu, sikujua kuwa upo kwenye degree Mill!!!.

Unaweza ukawa unafikiri unatetea kumbe unaharibu..... Profesa warioba akijua unatoa siri ya MILL yake kazi huna!! ahahah anyway si utakimbilia serikalini mlikojaa? undeleze U richmond!

FD
 
Kichunguu.
Mimi si bibi na wala si Dr. kumbuka akina Dr.Warioba wameutolea jasho huo wadhifa nami siwezi kufanya utapeli kama wakina FD.
Fikiraduni.
Ndugu mheshimiwa(majungu house's product) ikitokea siku umepata ajali na ukakimbizwa hospitalini, jee kabla ya DK kuku attend utaanza kuliza ' wewe dr, umesomea Muhimbili au Urusi?' jibu hapana. na kama ikitokea umetibiwa vibaya (below to the standard ) hapo ndio unaweza kuwa na hoja ya negligence kwa Dr. mhusika. vinginevyo mtu mwenye fikira timamu hataweza kuanza kuhoji na kupekua mambo ya daktari kabla ya kutibiwa.
kalikadhalika mgonjwa ambaye atakuja na hoja za kuuliza DR. kamaliza chuo gani, jee hicho chuo cha kumi na tatu kwenye league table, nadhani huyo atakuwa si mgonjwa bali ni Mzushi fulani wa Udsm.
Nimetoa mfano huu nadhani ndio FD utaweza kuelewa unajidai ni mwl lakini mzito kuelewa kama Luhanga au Bais.

Kinachotokea sasa hivi Mzumbe inafanya miujiza inaandaa vijana makini kabisa kwa kiwango cha hali ya juu, Africa nzima hakuna labda vyuo viwili tu vya South Africa. sasa katika miujiza hiyo anatokea mtu na nusu akili(Fikira duni) ana anza kuleta habari za kichawi ooh huyu mkuu ana Phd ya Mlimani? mara ooh alikuwa na Ma girl friends alipokuwa sekondary, mara ooh alimnyima nani lift.

kifupi kama Fd na wenzako mmekosa kazi mzumbe(wana bodi hawa jamaa walishindwa interview ya kazi Mzumbe) msilete chuki kwa Dr.Warioba viwango vyetu vilikuwa vidogo sana.
na jibu la kujua kwanini Mzumbe wanakomba ajira zote ni sababu program yao inakusanya vizuri na kuipa nafasi field, sasa mwanaMzumbe akienda field shirika fulani ile miujiza anayoifanya pale lile shirika linamwambia kabisa kamalizie kozi yako uje kuchukua kazi hapa.

utaratibu huu mzuri haupo (majungu house) wanakotoka akina FD.
kwa taarifa yenu nimemtaarifu kiona mbali(dr.warioba) juu ya huu uzushi wenu akasema hana muda wa kijinga ana shughuli nyingi za kuendeleza MU.yeye hasemi bali anatenda.
Tizameni scholarships za Norway ambapo wamesema kabisa wanataka vijana toka Mzumbe, uganda na Ghana yaani MU imepewa hadhi ya nchi.iko darhotwire kwenye kiswahili mada imewekwa na shy.
MU inashirikiana na Salford university ya UK. jee hao wana appreciate hizo phd nyie akina FD ndio muone kasoro?
jamani ni chuki binafsi tu na Mu.
mtakufa nacho kijiba roho.
 
nungwi said:
Kichunguu.
Mimi si bibi na wala si Dr. kumbuka akina Dr.Warioba wameutolea jasho huo wadhifa ...

Waryoba hakutolea jasho huo udaktari wa bandia. Inawezekana kweli ni mchapa kazi sana lakini hii haina maana kuwa ndiyo maana ana PHD. Hata Reginald Mengi ni mchapa kazi sana ndiyo maana ni tajiri lakini hana PHD. Kifupi ni kwamba Waryoba hana udaktari, full stop.

nungwi said:
Ndugu mheshimiwa(majungu house's product) ikitokea siku umepata ajali na ukakimbizwa hospitalini, jee kabla ya DK kuku attend utaanza kuliza ' wewe dr, umesomea Muhimbili au Urusi?' jibu hapana.

Hakuna hospitali itakayomruhusu daktari kutibu bila kujua digrii yake kaipata chuo gani. Huwezi kuja na digrii yako ya MD kutoka PWU au COU ukategemea kuruhusiwa kutibu katika hospitali yoyote labda ya MU campus.
nungwi said:
Tizameni scholarships za Norway ambapo wamesema kabisa wanataka vijana toka Mzumbe, uganda na Ghana yaani MU imepewa hadhi ya nchi.iko darhotwire kwenye kiswahili mada imewekwa na shy.
MU inashirikiana na Salford university ya UK. jee hao wana appreciate hizo phd nyie akina FD ndio muone kasoro?
jamani ni chuki binafsi tu na Mu.
mtakufa nacho kijiba roho.

Inaelekea wewe ni kilaza sana hata hujui jinsi scholarships zinavyooperate. Mimi nina scholarship funds zitakazoendelea kwa miaka mitano kuanzia mwaka jana; ninatoa scholarships tatu kila mwaka kwa vijana wa Afrika ya Kusini wa kutoka chuo kimoja tu huko Natal kinaitwa "Mangosuthu Technikon" kwa vile fungu la pesa lilitolewa USAID kwa ajili ya kuwaendeleza wanafunzi wanaograduate kutoka chuo hicho ambacho ni kidogo sana huko Afrika ya Kusini. Je kwa mantiki yako utasema kuwa Sultan Polytechnic ni chuo kizuri kuliko vyote Afrika ya Kusini ndiyo maana wanapata hizo scholarships?.
 
Nungwi,

Sijawahi wala sipendi kazi ya kufundisha. Hadhi yangu hainiruhusu kuwemo kwenye chuo kama hicho. Nipo Canada. Na ni chartered accountant backed with a strong MBA. Yes ni product ya Mlimani.

Naomba niache kukuelimisha, maana watu woote wanakupinga wewe unaona upo sahihi, halafu sijui unachoandika unaambiwa au unaandika mwenyewe? sielewi.

Ila wanasema if you do not raise your eyes you will think you are at highest point.

Kazi njema

FD
 
FD: nafikiri unapoteza nguvu na muda wako wa kufikiri kubishana na huyu Nungwi. Huyu ni limbukeni kama kilivyo chuo chake, na si ajabu kina nchimbi na kamala wanamtuma anayoyaaandika!
Achaneni naye. Dawa ya watu kama ni kuwa-ignore.
 
Mwanasiasa,

Ulinionya sikusikia, hiyo posting yangu ni jibu la mwisho. Ukielezea kuhusu Phd za COU yeye anaongelea ukosefu wa viti. Ukiongelea senator aliyefukuzwa Nigeria yeye anadai MU imeongeza campus mpaka Mbeya.

Ukiongela FBI wamesema hicho chuo hakipo, yeye anaongelea Dr Assad ana wivu.

Sijui huyu jamaa alifaulu vipi mitihani!!!! maana sio tu hajibu swali bali anajitungia swali na kujijibu. Inaonekana anaona kitu kisichokuwepo na hiyo ni double darkness, kwasababu kwanza kuna mnazi yeye ansema ni mchungwa, kwahiyo hakuuona mnazi na pia kaona kisichokuwepo hapo.

Asante mwanasiasa

FD
 
Hata Baisi mwenyewe alishakubali kuwa u-daktari wake ni feki kwa vigezo vya UDSM na kwa sasa ameamua kusoma Phd ya kweli kweli!!

Tatizo kubwa tulilonalo hapa ni pale Chuo kinapokumbatia watu wenye degree feki..............but by the way..Labda Mzumbe University hawajui hata vigezo vya u-daktari ni vipi; tusije tukawa tunawalaumu bure tu jamani! Si unajua ndio kwanza tu wamekubaliwa kuwa University, they are still learning but at the national risk!
 
Msikimbie wana UDSM,
CHUO CHENU KAMA TIMU ZA MECHI ZA MAHARAGE AU KOMBE LA MBUZI, timu zinazoshiriki ligi hiyo huwa hazina wachezaji zaidi ya kukodisha kwa timu zingine, mfano ukienda magomeni utaona mechi nyingi za namna hii,
sasa timu inayoingia ligi kwa kukodisha wachezaji wa timu zingine hiyo si timu ni wababaishaji tu yaani hawana uwezo wa kusajili.

nimetoa mfano mzuri ambapo UDSM sasa wamekuwa wakikodisha walimu toka IFM na wamekuwa wakiwakodisha akina DR.GASPER ili waje kuokoa jahazi.
na bingwa wa kukodisha ni Chijoriga ambaye ni dean wa commerce huku hana uwezo wowote,
mshahara anakula yeye halafu anamlipa mtu aje kufundisha kwa niaba yake huu ni ubabaishaji mkubwa,

ukija Mzumbe unapewa nyumba, gari n.k then tunadanganywa kuwa cha 13 Africa ni UDSM. hata walimu hakina! AIBU WAZEE.

Kama nilivyosema ahadi ni deni na leo namleta kibaisi mwingine ambaye naye ana phd feki na chuo alichochukua ni huko huko AUSTRIA kama alivyofanya chijoriga lakini akina Fikiraduni kwa uoni wao mdogo(akili ndogo) hawalioni hilo ila PWU tu,

Cleo NGIRWA yupo faculty ya administration & management na alienda Austria kufanya phd baada ya mwaka mmoja akarudi Dar kufanya research yaani kukusanya data akarudi AUSTRIA na baada ya MIEZI 6 TU KARUDI DAR AKIWA NA PHD(FEKI),

swali je ni kweli ndani ya miezi 6 baada ya kukusanya data unapata phd? Lini alifanya analysis ya data? lini alikuwa examined by both internal and external examiners?
Naomba akina FD kabla ya kukimbia naomba majibu yangu na huko AUSTRIA ndiko alikokuwa DEAN WA COMERCE mama Chijoriga ambaye naye ana phd feki.

Next Time DR.Assad alivyokuwa anagezea Southmpton university.
 
Nungwi acha kutetea uozo mzee, wanabodi hawana bifu na MU, sisi tunachotaka faculty iendane na hadhi ya chuo. Mambo ya kushambulia UD hayana maana.
 
nungwi said:
Msikimbie wana UDSM,
CHUO CHENU KAMA TIMU ZA MECHI ZA MAHARAGE AU KOMBE LA MBUZI, timu zinazoshiriki ligi hiyo huwa hazina wachezaji zaidi ya kukodisha kwa timu zingine, mfano ukienda magomeni utaona mechi nyingi za namna hii,
sasa timu inayoingia ligi kwa kukodisha wachezaji wa timu zingine hiyo si timu ni wababaishaji tu yaani hawana uwezo wa kusajili.

nimetoa mfano mzuri ambapo UDSM sasa wamekuwa wakikodisha walimu toka IFM na wamekuwa wakiwakodisha akina DR.GASPER ili waje kuokoa jahazi.
na bingwa wa kukodisha ni Chijoriga ambaye ni dean wa commerce huku hana uwezo wowote,
mshahara anakula yeye halafu anamlipa mtu aje kufundisha kwa niaba yake huu ni ubabaishaji mkubwa,

ukija Mzumbe unapewa nyumba, gari n.k then tunadanganywa kuwa cha 13 Africa ni UDSM. hata walimu hakina! AIBU WAZEE.
...................

(1) Kapingane na vyombo maalumu vilivyochambua ubora wa vyuo vyote duniani na kuipata UDSM kama ya 13 katika Afrika; MU haimo katika the best 100.

(2) Maelezo yako mengine yanaweza kuwa ni mazuri na ni vyema yakaangaliwa na wanaohusika, lakini hayasaidii utetezi wako wa kwa nini waalimu wa Mzumbe University wananunua digrii za Ph.D badala ya kuzisomea. Umeshapewa orodha ya vyuo vinavyouza digrii bila kuzisomea, na kupewa majina ya waalimu wa Mzumbe ambao wana digrii za namna hiyo. Unachotakiwa ni kujibu kwa nini waalimu hao wana digrii za kununua wala siyio kuzunguka.

(3) Unapozungumza kijumla jumla tu kwamba fulani aliwenda Austria bila kusema alikuwa chuo gani unakuwa unaleta majungu hayo hayo unayodai kuyapiga vita. Toa data kamili na uthibitishe kuwa huyo unayemshuku alikuwa registered kwenye chuo feki huko Austria na wala hakuwa kwenye mojawapo ya Sandwich Ph.D programs za UDSM ambapo mtu anafanya sehemu kubwa ya research akiwa hapo Dar na sehemu nyingine normally ndogo ya analysis akiwa kwenye chuo cha nje.
 
Kashasema amekaa nje mwaka mmoja na akakusanya data miezi sita Dar total mwaka mmoja na nusu.

Je hiyo ni sawa na wiki nne alizosomea Warioba VC wa Mzumbe?
Mbona unajichanganya rafiki yangu? au unaandika unayo kuwa dictated na Warioba hata kupembua huwezi?!!! Nenda shule bro ujifunze kupembua vitu...

FD
 
Nakumbuka nikisoma Physics kulikuwa kuna kitu kinaitwa SI Unit, Nungwi ni SI Unit ya kuchemsha, siku hizi ukichemsha tu , samahani nitatumia SI Unit Nungwi kupima hoja.

Nungwi is too childish and disgusting
 
Ogah,

Probably more than that!, kama kungekuwa na Nobel prize ya kutokuelewa mambo huyu jamaa ningempa wala nisingeona wivu wa yeye kupewa na hela juu!

FD
 
Ogah said:
Nakumbuka nikisoma Physics kulikuwa kuna kitu kinaitwa SI Unit, Nungwi ni SI Unit ya kuchemsha, siku hizi ukichemsha tu , samahani nitatumia SI Unit Nungwi kupima hoja.

Nungwi is too childish and disgusting

1 Nungwi (Ngw) is the quantity of stupidity in 1000 mature people who have lost 63.3% or (1-exp(-1)) of their reasoning power. The level of stupidity in a normal person is between 2 to 10 microNungwis and it is normally unnoticeable. People start showing abnormal behavior when their stupidity level reaches abot 100 microNungwis and it becames alarming when it reaches 1 milliNungwi. It is advised to stay away from whoever records stupidity level of above 1 milliNungwi. Sporadically people with stupidity levels of up to 1 full Nungwi have been observed but they are very rare, appearing once in about 100 years per continent.
 
No comments. Topic ifungwe. Na jamaa walaaniwe kwa Phd feki. Kubishana na mtu aliyefikia 1 Nungwi ni tatizo kama alivyosema kichunguu
 
kichuguu said:
1 Nungwi (Ngw) is the quantity of stupidity in 1000 mature people who have lost 63.3% or (1-exp(-1)) of their reasoning power. The level of stupidity in a normal person is between 2 to 10 microNungwis and it is normally unnoticeable. People start showing abnormal behavior when their stupidity level reaches abot 100 microNungwis and it becames alarming when it reaches 1 milliNungwi. It is advised to stay away from whoever records stupidity level of above 1 milliNungwi. Sporadically people with stupidity levels of up to 1 full Nungwi have been observed but they are very rare, appearing once in about 100 years per continent.

Mzee, hii kali. Sijaiona ktk Wikipedia.
 
Kila kitu kina utaratibu na mfumo wa upatikanaji whether ni formal au informal.PhD feki ni zile zilizopatikana pasipowahitimu kusoma.
I think hao wahitimu they should conduct Public Lecture kuhuiana na maeneo ya taaluma yao. Mfano waende pale Nkrumah Hall. Hiyo itasaidia kudefend PhD zao. Maana wakitoa pumba zitaonekana. Wheather wamesoma online, distance learning, research au course work darasani. Otherwise they can publish ili tuone umantiki wa elimu yao ambayo imetiliwa mashaka.

Wakiwa watu safi na wenye kuwa accountable Inabidi wajisafishe kwa umma. One way ni kueleza bayana na waproove their credentials, Otherwise wataendelea kusakamwa kila siku.

Maana Kuitwa Dr isiwe tamu tu ya kuitwa Dr bali uthibitishe kuwa wewe ni Dr. Publish, andika vitabu ili watu wasome kazi yako!!

Hii ni challenge kwa wanaosakamwa kuwa ma- Drs hewa. So far sijasikia wamefanya any Initiative mantiki inayokubalika ili kudefend UDr wao.
 
Back
Top Bottom