FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
- Thread starter
-
- #121
nungwi said:Kichunguu.
Mimi si bibi na wala si Dr. kumbuka akina Dr.Warioba wameutolea jasho huo wadhifa ...
nungwi said:Ndugu mheshimiwa(majungu house's product) ikitokea siku umepata ajali na ukakimbizwa hospitalini, jee kabla ya DK kuku attend utaanza kuliza ' wewe dr, umesomea Muhimbili au Urusi?' jibu hapana.
nungwi said:Tizameni scholarships za Norway ambapo wamesema kabisa wanataka vijana toka Mzumbe, uganda na Ghana yaani MU imepewa hadhi ya nchi.iko darhotwire kwenye kiswahili mada imewekwa na shy.
MU inashirikiana na Salford university ya UK. jee hao wana appreciate hizo phd nyie akina FD ndio muone kasoro?
jamani ni chuki binafsi tu na Mu.
mtakufa nacho kijiba roho.
nungwi said:Msikimbie wana UDSM,
CHUO CHENU KAMA TIMU ZA MECHI ZA MAHARAGE AU KOMBE LA MBUZI, timu zinazoshiriki ligi hiyo huwa hazina wachezaji zaidi ya kukodisha kwa timu zingine, mfano ukienda magomeni utaona mechi nyingi za namna hii,
sasa timu inayoingia ligi kwa kukodisha wachezaji wa timu zingine hiyo si timu ni wababaishaji tu yaani hawana uwezo wa kusajili.
nimetoa mfano mzuri ambapo UDSM sasa wamekuwa wakikodisha walimu toka IFM na wamekuwa wakiwakodisha akina DR.GASPER ili waje kuokoa jahazi.
na bingwa wa kukodisha ni Chijoriga ambaye ni dean wa commerce huku hana uwezo wowote,
mshahara anakula yeye halafu anamlipa mtu aje kufundisha kwa niaba yake huu ni ubabaishaji mkubwa,
ukija Mzumbe unapewa nyumba, gari n.k then tunadanganywa kuwa cha 13 Africa ni UDSM. hata walimu hakina! AIBU WAZEE.
...................
Ogah said:Nakumbuka nikisoma Physics kulikuwa kuna kitu kinaitwa SI Unit, Nungwi ni SI Unit ya kuchemsha, siku hizi ukichemsha tu , samahani nitatumia SI Unit Nungwi kupima hoja.
Nungwi is too childish and disgusting
kichuguu said:1 Nungwi (Ngw) is the quantity of stupidity in 1000 mature people who have lost 63.3% or (1-exp(-1)) of their reasoning power. The level of stupidity in a normal person is between 2 to 10 microNungwis and it is normally unnoticeable. People start showing abnormal behavior when their stupidity level reaches abot 100 microNungwis and it becames alarming when it reaches 1 milliNungwi. It is advised to stay away from whoever records stupidity level of above 1 milliNungwi. Sporadically people with stupidity levels of up to 1 full Nungwi have been observed but they are very rare, appearing once in about 100 years per continent.