Hilo suala ni tatizo la kimaadili, kuna power dynamics hapo zinazoweza kufanya mahusiano yasiwe na uwiano mzuri, kuwa ya unyanyasaji wa kingono (sexual harassment), na hata kuharibu kazi.Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi .
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Ikitokea humo ofisini hakuna wanawake atafanyaje? Utetezi legevu sana huo.Ni umaraiya tu.Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Hakuna kitu kama hicho kama ww ni mzinzi ni mzinzi tu usiwe na hoja zaifu kama hizoMaisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Ni ukachero,mabosi wengi hutumia hii nyie wanawake mna akili fupi sana,mkishakuwa chakula ya bosi huwa mnaropoka sana na kuwa masnitch ofisini..Kabla ya huu uzi Nilijifunza hii kutoka kwa mastermind wangu alinitonya hiki kitu,na ilikuwa ni kweli ukiona taarifa zako zipo kwa bosi ujue aliyefikisha ni demu ambaye atakuwa naye kwenye mahusiano kwa muda huoUmalaya tu.
Hakuna Cha ukachero.
Mm ni 4m four point 29 .nivumilie najifunza badoHakuna kitu kama hicho kama ww ni mzinzi ni mzinzi tu usiwe na hoja zaifu kama hizo