Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

Huo ni uhuni kama uhuni mwingine tu, hakuna cha ukachero wala nini... Kuna njia nyingi na salama kufanya huo ukachero.
 
Sio kweli Mkuu

Mapenzi ya maboss na wafanyakazi wao hayana afya kwa Taasisi, zaidi ya kudidimiza ukuaji na ufanisi wa hiyo Taasisi

Ukitaka kupata taarifa za kina za watumishi wako unaweza kutumia mbinu nyingine lakini sio hiyo ya kulala nao

Kama unataka kuwapandisha vyeo, tumia ofisi ya Usalama ya Serikali, wao ndiyo jukumu lao hilo

Hilo la kuwalala utawalala wote na kujikuta wanawake wanagombana ofisini kwaajili yao, which is not healthier kwa Taasisi
 
Back
Top Bottom