Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ikitokea humo ofisini hakuna wabawake atafanyaje? Utetezi legevu huo.Ni umaraiya tuMaisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Huyo bosi wenu anayehunika akisingizia ukachero ni nyege tu zinamsumbua.Kwenye management na mbinu zake hakuna hizo za kufunuana boxers zao.Amekosa akili kabisa ya kuiongoza taasisi hadi akaona atumie "sukari guru" ya babu?Atawapa utamu wangapi iwapo wakiwa wanahamishwa mara kwa mara?Ni ukachero,mabosi wengi hutumia hii nyie wanawake mna akili fupi sana,mkishakuwa chakula ya bosi huwa mnaropoka sana na kuwa masnitch ofisini..Kabla ya huu uzi Nilijifunza hii kutoka kwa mastermind wangu alinitonya hiki kitu,na ilikuwa ni kweli ukiona taarifa zako zipo kwa bosi ujue aliyefikisha ni demu ambaye atakuwa naye kwenye mahusiano kwa muda huo
Siyo hoja.Hata ungekuwa fomfoo wa point 01.Mm ni 4m four point 29 .nivumilie najifunza bado
Kuna kampuni moja niliwahi kutana na hii kitu, na haikudumuNi moja ya sababu ya utendaji kuzorota. MaBoss incompetent labda hiyo ndio mbinu yao.
Huiamini,jichanganye hata wewe utafanyiwa ukachero.Umalaya tu.
Hakuna Cha ukachero.
Isingeweza kudumu kwa kutegemea nguvu ya kichwa cha dushelele.Kuna kampuni moja niliwahi kutana na hii kitu, na haikudumu
Haiwezi kudumu ni suala la muda tu.Kuna kampuni moja niliwahi kutana na hii kitu, na haikudumu
Hakikaaa, alafu boss mwenyewe alikuwa "mwarabu"Isingeweza kudumu kwa kutegemea nguvu ya kichwa cha dushelele.
Aliwatambishia rangi ya jangwani?Huyo alikuwa ni bloody kenge kabisa!Hakikaaa, alafu boss mwenyewe alikuwa "mwarabu"
Sio hivyo tu, nadhani unazifahamu tabia za waarabu.....Aliwatambishia rangi ya jangwani?Huyo alikuwa ni bloody kenge kabisa!
Kwamba mna wasiwasi ametoroka na bandari yenu?Sio hivyo tu, nadhani unazifahamu tabia za waarabu.....
Kuna vibinti vinatamanisha Sana, maboss nao ni watu kama wengine tuu. Kutongoza wote wanatongoza kama ni hiari haina cha uboss.Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja juuu ya utendaji wa wafanyakazi wote kwa asilimia mia Moja
2.Mara nyingi Hawa mabosi hujua tabia ya mfanyakazi mmoja mmoja ,cfa tabia na uwezo
Nini maoni Yako ?
Kabisa kabisa! Hakuna utetezi hapo.Unprofessional, unethical, prostitution,
Aliwe tuu ila nisijue .Kwaiyo na mkeo akiwa boss mahali atembeze mbususu kikachero zaidi?