Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
"kuazimisha" ni lugha gani mkuu?Bila shaka ulitaka kusema "Kuazimisha"
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"kuazimisha" ni lugha gani mkuu?Bila shaka ulitaka kusema "Kuazimisha"
Bila shaka ulitaka kusema "Kuazimisha"
Hua unapenda ligi za kipumbavu sana,bila shaka una stress za maisha zinakusumbua,hutaki kurekebishwa? unataka uendelee kufuga ujinga? simu yako halafu hupendi kuazima? utaazimaje kitu ambacho ni mali yako? kingine ukisha weka thd au comment hapa JF inakua sio mali yako tena na kila mtu anayo haki ya kuquote na kucomment,ukitaka mtu asikuquote acha kuandika chochote humu.
I miss you😔Kuna watu wazembe kupita kiasi. Unakodi bodaboda, anafika katikati ya safari anasimama, na wewe unaona sawa, anapiga simu na wewe unaona sawa, anaomba simu na wewe unaona sawa, anaondoka na simu na wewe unaona sawa! Jamani huu ni zaidi ya upunguani. Navyojua ukikodi gari au boda, mwendeshaji anatakiwa akupeleke moja kwa moja bila kuingiza mambo yake ya binafsi, hata kutumia simu haitakiwi. Mteja una haki na wajibu wa kumuonya iwapo unaona anafanya mambo mengine ya binafsi!
I dont miss you! 😎I miss you😔
Umetokwa povu ila umerudia ujinga ule ule kiazi wewe.Unamtukana bure Numbisa wakati wewe ndiye BIG FOOL. The sentence is correct! Sorry for you dire ignorance!
CORRECT LOGIC
^Kati ya vitu sipendi ni [MTU MWINGINE] kuazima simu yangu^
Learn to fill empty linguistic gaps by yourself.
Kimakonde
Kumbe hua unaabudu likes? namhurumia huyo aliyekuoa kama umeolewa,inaonekana kila siku hua unashindana nae kwa ujuaji wako wakijinga,punguza ligi za kipumbavu.Gazeti lote hili povu la nini wakati sijaona sehemu nilipokukosea. ulitamani nikupe likes nyingi ama.
Mkuu stress zako pelekea Bwana ako. Daima chizi hudhani kila amuonae ni chizi mwenzie. Pole shosti
I'm greatly relieved knowing that the previous message was sent and pointedly delivered. You have the option to continue beating all the bushes you can ever find around you! Adios!Umetokwa povu ila umerudia ujinga ule ule kiazi wewe.
Huwezi kusema "Sipendi kuazima simu yangu" utaazimaje mali yako?
Piga kimya ili kuficha ujinga wako.
✌I dont miss you! 😎
HUWAKumbe hua unaabudu likes?
kila siku hua unashindana
NAYE!nae kwa ujuaji wako
Ha ha ha! Mirembe haijajaa jamaniHUWA
HUWA
NAYE!
NB: Jifunzekuachanafasikatiyanenonanenolinginebecauseniwaziunatypesentensizakowakatiunadrivebarabaraniaukitukamahicho!Sijuiunatakasisitukuelewejesasamaanaunatupatiawakatimgumusanakufuatiliaunachoandika.Wakatihuohuounajidaikuwamkosoajimkubwawawengine!Aupenginekalamuunayotumiandiyondogosana?Oryouarejustlackingaspacetowriteon?
Asante kwa ujumbeYaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja jina la mhudumu mojawapo wa hiyo bar.
Ukimpa simu anapiga halafu anashuka kwenye boda yake anazima kabisa na ufunguo anachomoa halafu anaenda na simu yako mle ndani bar yeye anakuacha na boda yake sasa hapo ukijichanganya umfuate mle ndani yeye kumbe ameshakusoma unaingiaje yeye anatoka fasta anaenda washa pikipiki yake anapotea na simu yako wewe unabaki unaulizia lile jina alilotamka.
Nimeoana niwaambie maana jamaa yangu juzi tuu leo siku ya 3 simu yake imeondoka kwa style hiyo .
Ukipanda pikipiki jitahidi upande kwa unayemjua au kama yuko kijiweni kwake hakikisha kavaa reflector ile yenye namba ya kijiwe hata ikitokea tatizo inakuwa rahisi kulitatua.
Jumapili ikiwe njema kwenu.
Chukuwa bodaboda za Uber,bolt,linkee,zenye kiunganishi cha application,hata kibajaji,Taxi chukuwa za Uber,bolt,linkee nk,likitokea lolote baya,ni rahisi kumpata kupitia kampuni ya kukodisha usafiri.Yaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja jina la mhudumu mojawapo wa hiyo bar.
Ukimpa simu anapiga halafu anashuka kwenye boda yake anazima kabisa na ufunguo anachomoa halafu anaenda na simu yako mle ndani bar yeye anakuacha na boda yake sasa hapo ukijichanganya umfuate mle ndani yeye kumbe ameshakusoma unaingiaje yeye anatoka fasta anaenda washa pikipiki yake anapotea na simu yako wewe unabaki unaulizia lile jina alilotamka.
Nimeoana niwaambie maana jamaa yangu juzi tuu leo siku ya 3 simu yake imeondoka kwa style hiyo .
Ukipanda pikipiki jitahidi upande kwa unayemjua au kama yuko kijiweni kwake hakikisha kavaa reflector ile yenye namba ya kijiwe hata ikitokea tatizo inakuwa rahisi kulitatua.
Jumapili ikiwe njema kwenu.
Kabisa kabisaKuna watu wazembe kupita kiasi. Unakodi bodaboda, anafika katikati ya safari anasimama, na wewe unaona sawa, anapiga simu na wewe unaona sawa, anaomba simu na wewe unaona sawa, anaondoka na simu na wewe unaona sawa! Jamani huu ni zaidi ya upunguani. Navyojua ukikodi gari au boda, mwendeshaji anatakiwa akupeleke moja kwa moja bila kuingiza mambo yake ya binafsi, hata kutumia simu haitakiwi. Mteja una haki na wajibu wa kumuonya iwapo unaona anafanya mambo mengine ya binafsi!
Binti kampikie mumeo ili usije ukaleta thd ya kuomba ushauri hapa JF baada ya kuachika,naona umekuja na ID nyingine ili kuendeleza ujinga wako.HUWA
HUWA
NAYE!
NB: Jifunzekuachanafasikatiyanenonanenolinginebecauseniwaziunatypesentensizakowakatiunadrivebarabaraniaukitukamahicho!Sijuiunatakasisitukuelewejesasamaanaunatupatiawakatimgumusanakufuatiliaunachoandika.Wakatihuohuounajidaikuwamkosoajimkubwawawengine!Aupenginekalamuunayotumiandiyondogosana?Oryouarejustlackingaspacetowriteon?
Ukiona mtu ameanza kuingiza vingereza uchwara kwenye mjadala ambao alikua anatumia Kiswahili ujue huyo ameishiwa hoja na amebaki kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.I'm greatly relieved knowing that the previous message was sent and pointedly delivered. You have the option to continue beating all the bushes you can ever find around you! Adios!
Kaka sio wote wenye akili hiyo kule ile mtu anjifanya ana haraka ndio anaepatwa na hiliChukuwa bodaboda za Uber,bolt,linkee,zenye kiunganishi cha application,hata kibajaji,Taxi chukuwa za Uber,bolt,linkee nk,likitokea lolote baya,ni rahisi kumpata kupitia kampuni ya kukodisha usafiri.