Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Mkuu mkatie tu'you are a man!!!

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mkuu hako kamcharuko ndio tabia yake hua kanapenda kuwasemea watu mbovu humu JF,

Stress zake za maisha kanataka kuzimalizia humu,na hii tabia kamekua nayo coz watu wamekadharau na kukapotezea ila kenyewe kametafsiri kua kanaogopwa,

Nikapumbavu sana hako kakiumbe ka hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom