Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

Hawa wezi walikomeshwa barabara

Ova
 

Attachments

  • VID-20220216-WA0017.mp4
    1.7 MB
  • VID-20220216-WA0005.mp4
    6.8 MB
Maskini yaani unaumwa uzuzu na upunguani daah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwisha habari yako,umebaki kujichekesha chekesha hovyo tu na kujifanya Kasuku kurudia maneno ya mganga wako,naona pumzi imekata mapema sana.
 
Huyo alikuwa ameenda kutaftiwa malaya ndio wakamlipua kwa style hiyo. Chezea Dar ww[emoji1787]
 
Kama ndohivo huyo jamaa yako n punguani poyoyo kwa staili hiyo yakuibiwa kizembe dereva toyo anatakiwaa afate order yako wew uliye kodi
 
Yaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja jina la mhudumu mojawapo wa hiyo bar.

Ukimpa simu anapiga halafu anashuka kwenye boda yake anazima kabisa na ufunguo anachomoa halafu anaenda na simu yako mle ndani bar yeye anakuacha na boda yake sasa hapo ukijichanganya umfuate mle ndani yeye kumbe ameshakusoma unaingiaje yeye anatoka fasta anaenda washa pikipiki yake anapotea na simu yako wewe unabaki unaulizia lile jina alilotamka.

Nimeoana niwaambie maana jamaa yangu juzi tuu leo siku ya 3 simu yake imeondoka kwa style hiyo .

Ukipanda pikipiki jitahidi upande kwa unayemjua au kama yuko kijiweni kwake hakikisha kavaa reflector ile yenye namba ya kijiwe hata ikitokea tatizo inakuwa rahisi kulitatua.

Jumapili ikiwe njema kwenu.
Uongo huooo
 
unaibiwaje kifara hivyo.......kweli malaya wa bar unataka ukatongozewe....wacha wakupige tuuu...
 
Pole shosti usilie vumilia dozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwisha habari yako,umebaki kujichekesha chekesha hovyo tu na kujifanya Kasuku kurudia maneno ya mganga wako,naona pumzi imekata mapema sana.
 
Mimi mtu.yeyote ambae sina ukaribu nae sana.. akiomba simu apige simpi.
 
Ni kweli mkuu wa stendi baadhi ni majambazi kabisaa wala si wezi tu. Niwape kisa kimoja.
Nilitoka safari nikateremkia parking ya cbe nikakodi boda kuelekea home tulipofika mahali fulani kuna kiza jamaa akasimama ghafla nakuomba ampigie rafiki yake nilikuwa na filimbi mkononi ambayo wakati napanda pikipiki hakuiona. Basi nikamuwekea filimbi shingoni na nikampa amri arudishe simu mfukoni na aondoke la sivyo namfumua ubongo! Kama ni simu asimame penye mwanga na watu ndo apige.
Jamaa akaomba samahani bro nina nia njema tu usiniumize kwani wewe pot? Nikamjibu mimi jug twende na simama pale pana mwanga piga simu yako na uweke saut kubwa.Alipofika kwenye mwanga nikamsimamisha nikamlipa nikatafuta usafiri mwingine
Duu pole sana huenda ungekabwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom