Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuzu ugonjwa wako unaendeleaje? nikubadilishie dozi?aiseee anayekuingizia dawa hamalizi tu pole🤣🤣🤣🤣🤣
Na hapa ndipo hasa penye kiini cha tukio🤣Wengi hulizwa kwa uzembe wao wenyewe hakuna cha dawa wala nini.
Nimpe simu yangu bodaboda naumwa? Au jamaa yako aliomba boda amtafutie malaya bar.?
Zuzu ugonjwa wako unaendeleaje? nikubadilishie dozi?
Kweli punguani haponi bali hupata nafuu tu,ngoja nikubadilishie dozi zuzu sugu.Aiseee pole sana kwa kuumwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli punguani haponi bali hupata nafuu tu,ngoja nikubadilishie dozi zuzu sugu.
Kwisha habari yako,umebaki kujichekesha chekesha hovyo tu na kujifanya Kasuku kurudia maneno ya mganga wako,naona pumzi imekata mapema sana.Maskini yaani unaumwa uzuzu na upunguani daah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alitoka mkoa gani? Tuanzie hapoNimeoana niwaambie maana jamaa yangu juzi tuu leo siku ya 3 simu yake imeondoka kwa style hiyo .
Uongo huoooYaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja jina la mhudumu mojawapo wa hiyo bar.
Ukimpa simu anapiga halafu anashuka kwenye boda yake anazima kabisa na ufunguo anachomoa halafu anaenda na simu yako mle ndani bar yeye anakuacha na boda yake sasa hapo ukijichanganya umfuate mle ndani yeye kumbe ameshakusoma unaingiaje yeye anatoka fasta anaenda washa pikipiki yake anapotea na simu yako wewe unabaki unaulizia lile jina alilotamka.
Nimeoana niwaambie maana jamaa yangu juzi tuu leo siku ya 3 simu yake imeondoka kwa style hiyo .
Ukipanda pikipiki jitahidi upande kwa unayemjua au kama yuko kijiweni kwake hakikisha kavaa reflector ile yenye namba ya kijiwe hata ikitokea tatizo inakuwa rahisi kulitatua.
Jumapili ikiwe njema kwenu.
Ni mwenyeji tena kazaliwa hapa hapa mjini na ana elimu yake tena mastersAlitoka mkoa gani? Tuanzie hapo
Tigo vp ilisalimika?;;;!!!Ni mwenyeji tena kazaliwa hapa hapa mjini na ana elimu yake tena masters
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwisha habari yako,umebaki kujichekesha chekesha hovyo tu na kujifanya Kasuku kurudia maneno ya mganga wako,naona pumzi imekata mapema sana.
Zuzu endelea kukenua hovyo ili kuthibitisha uzuzu wako.Pole shosti usilie vumilia dozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
DuuhKama una appointment na demu, katika kukuelekeza alipo anakwambia mpe simu bodaboda
Duu pole sana huenda ungekabwaNi kweli mkuu wa stendi baadhi ni majambazi kabisaa wala si wezi tu. Niwape kisa kimoja.
Nilitoka safari nikateremkia parking ya cbe nikakodi boda kuelekea home tulipofika mahali fulani kuna kiza jamaa akasimama ghafla nakuomba ampigie rafiki yake nilikuwa na filimbi mkononi ambayo wakati napanda pikipiki hakuiona. Basi nikamuwekea filimbi shingoni na nikampa amri arudishe simu mfukoni na aondoke la sivyo namfumua ubongo! Kama ni simu asimame penye mwanga na watu ndo apige.
Jamaa akaomba samahani bro nina nia njema tu usiniumize kwani wewe pot? Nikamjibu mimi jug twende na simama pale pana mwanga piga simu yako na uweke saut kubwa.Alipofika kwenye mwanga nikamsimamisha nikamlipa nikatafuta usafiri mwingine