Kizazi hicho mpaka na wa leo ndo kizazi kile kisichohoji saana wala kuleta utata mwingi ukilinganisha na kizazi hiki Cha kuanzia 92Kama ni kweli maisha yalikuwa hivyo ni kazi kweli kweli
Kiufupi haikuwepo nafasi ya nyie kuwa binadamu
Kwa hiyo kwa sasa tabia zenu zimenyooka na hamkosei kabisaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae