Dr Chi Member Joined Dec 20, 2016 Posts 33 Reaction score 43 Mar 17, 2025 Thread starter #21 shibela said: Naijua Sana hiyo,kipigo nisichokisahau ni siku moja niliepua chakula na vipande vya shina la mgomba sufuria ikateleza chakula chote chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Kama nakuona vile ulivyojifanya Huna machozi ukapigwa ulie na ulipo Lia ukapigwa zaidi unyamaze hahaha
shibela said: Naijua Sana hiyo,kipigo nisichokisahau ni siku moja niliepua chakula na vipande vya shina la mgomba sufuria ikateleza chakula chote chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Kama nakuona vile ulivyojifanya Huna machozi ukapigwa ulie na ulipo Lia ukapigwa zaidi unyamaze hahaha
Dr Chi Member Joined Dec 20, 2016 Posts 33 Reaction score 43 Mar 17, 2025 Thread starter #22 Joanah said: Kama ni kweli maisha yalikuwa hivyo ni kazi kweli kweli Kiufupi haikuwepo nafasi ya nyie kuwa binadamu Kwa hiyo kwa sasa tabia zenu zimenyooka na hamkosei kabisaaa Click to expand... Kizazi hicho mpaka na wa leo ndo kizazi kile kisichohoji saana wala kuleta utata mwingi ukilinganisha na kizazi hiki Cha kuanzia 92
Joanah said: Kama ni kweli maisha yalikuwa hivyo ni kazi kweli kweli Kiufupi haikuwepo nafasi ya nyie kuwa binadamu Kwa hiyo kwa sasa tabia zenu zimenyooka na hamkosei kabisaaa Click to expand... Kizazi hicho mpaka na wa leo ndo kizazi kile kisichohoji saana wala kuleta utata mwingi ukilinganisha na kizazi hiki Cha kuanzia 92
Dr Chi Member Joined Dec 20, 2016 Posts 33 Reaction score 43 Mar 17, 2025 Thread starter #23 To yeye said: Aisee,mi wajukuu wajiandae🤒 Click to expand... Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae
To yeye said: Aisee,mi wajukuu wajiandae🤒 Click to expand... Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,254 Mar 17, 2025 #24 Dr Chi said: Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Dr Chi said: Tunaenda katika kizazi ambacho watoto ni wagonjwa kuliko wazee kwenye usafiri wa uma wazee watanyanyuka kupisha watoto wakae Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🙌