Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Usafi hauna gharama yoyote kuosha kijiko na kitunza vyombo kwa usafi havihusiani na bei ya chakulaWenzio walizoea kula hapo wanaona kawaida kikubwa washibe,
Wewe ukitaka mazingira safi basi nenda sehemu za wali nyama elf 7 uone kama utakuja kuandika thread hapa!
Japo ni chakula cha bei rahisi ila muhimu usafi.Sa msosi wa buku unataka uweje?
Daah wewe jamaa umenifanya nifikirie sana, thou sio mshiriki wa hizo sehemu.Kuna zile kachumbari zao huwa wanatengeneza kwa kuminya vitunguu na mikono, wakati huo katoka kubadili pedi bila hata kunawa, poleni mnaokula kwa hao watu
Kuna siku nilienda kunywa chai,basi chapati zikawa za kusubiri!Hapo chai nilishawekewa mezani,nikaona Namalizia chai chapati hazifiki!Ikabidi ninyenyuke nizifate huko huko jikoni,lahaula si nikamkuta mama anayepika vyapati Yuko anamtawaza mtoto wake aliyejinyea pembeni tu kidogo na anapopikia,yaani kama ni jambo la kawaida!Wala hata hakustuka,akaniambia wewe ndiye uliyetoa oda ya chapati 3,nikamwambia ndio!Akasema ndio anamalizia ya mwisho,hapo ndio anamvali bukta mtoto wake!Nikasubiri Ili nione basi kama atanawa na sabuni!Haikuwa hivyo,yaani pale pale wakati anamtawaza mtoto,alivyosuuza tu mikono ndio akawa amemaliza!Kuna zile kachumbari zao huwa wanatengeneza kwa kuminya vitunguu na mikono, wakati huo katoka kubadili pedi bila hata kunawa, poleni mnaokula kwa hao watu
Wenzio walizoea kula hapo wanaona kawaida kikubwa washibe,
Wewe ukitaka mazingira safi basi nenda sehemu za wali nyama elf 7 uone kama utakuja kuandika thread hapa!
Wenzio walizoea kula hapo wanaona kawaida kikubwa washibe,
Wewe ukitaka mazingira safi basi nenda sehemu za wali nyama elf 7 uone kama utakuja kuandika thread hapa!
Punguza makasiriko kama mkeo ni mama ntilie mwambie azingatie usafi.Umasikini wako ndio tatizo, ukiwa na hela ya kutosha huwezi kuleta huu upuuzi muda huu hapa jamvini