Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapochanganya ni kitu kimoja tu,wale mamantilie wa msosi wa bei ndogo wao ndo wapikaji,wapakuaji,na waoshaji vyombo so wanakua busy hawawez kuyafanya yote kwa mara moja kwa ustadi ndo mana utakuta mazingira machafu,lakini ukienda kwenye hotel za gharama unakuta wapishi wako jikoni na wanaohusika na usafi ni wengine so kunakua na mgawanyo wa kazi hence mambo yanaenda vizuri mana kila mtu ana eneo lake la kusimamia!Usafi hauna gharama yoyote kuosha kijiko na kitunza vyombo kwa usafi havihusiani na bei ya chakula
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119]Apo hujagusia wale wanaooshea papuchi kwenye mchuzi ili wapate wateja.
hahahahaApo hujagusia wale wanaooshea papuchi kwenye mchuzi ili wapate wateja.
Hizi mambo zinaendaga na Hali ya umaskini... Mama mwenyew ukimgusa kichwani utamkuta la saba B, ukiangalia mtaji utakuta elf 14, anapikia kuni. Nlikulaga mihogo Kwa WAMAMA flani hivi mbagala hapo loh! Mihogo imechemshwa yule mama anajikuna makwapa alafu anaokota mihogo anaikaanga mbele yangu. Nkajiuliza kachumbali kaikata vipi???. Mm kula hovyo hovyo HAPANAUnapochanganya ni kitu kimoja tu,wale mamantilie wa msosi wa bei ndogo wao ndo wapikaji,wapakuaji,na waoshaji vyombo so wanakua busy hawawez kuyafanya yote kwa mara moja kwa ustadi ndo mana utakuta mazingira machafu,lakini ukienda kwenye hotel za gharama unakuta wapishi wako jikoni na wanaohusika na usafi ni wengine so kunakua na mgawanyo wa kazi hence mambo yanaenda vizuri mana kila mtu ana eneo lake la kusimamia!
Wala siyo umasikini tu umeleta hilo tatizo ni mfumo wetu wa maisha ya jingajinga na kujifanya hatuli Wala kunya ndo kunaleta haya yote, ukienda Nchi za watu wanaojielewa na kujua umuhimu wa chakula kwa wafanyakazi mbona hizo mamantilie zingekuwa safi maana Kila sehemu za kazi kunakuwa na sehuemu za chakula bado Kila ofisi inakuwa na vifaa vya kupasha chakula watu wanakuja na chakula kutoka nyumbani ukifika muda wa kula wanapasha wenyewe wanakula Sasa huu mfumo wa kijinga tulionao ni shida tu watu wamekuzwa kivivu sana kijana mwenye nguvu zake hajui hata kujiandalia lunch ya kwenda nayo kazini na anabeba begi kubwa mgongoni kwa kumuiga mzungu, sasa huyo mamantilie kwa kujiona anawateja wengi ambao wanamtegemea yeye badala ya watu kujitegemea kwenye lunch ndo anakuwa na kiburi hicho.Umasikini wako ndio tatizo, ukiwa na hela ya kutosha huwezi kuleta huu upuuzi muda huu hapa jamvini
Unakula chakula wapi bwana mdogo? Tafuta hela au acha kulalamika piga kimya Yani unakula msosi wa buku unatarajia nini??Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi.
Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana kimetoka kutumika muda si mrefu bado kina mabaki ya chakula. Kwa maana hiyo hakijasafishwa vizuri
Maeneo ya kulia chakula hasa mezani, nzi kibao unakula chakula mara nzi kadondokea kwenye chakula inatia kinyaa.
Mama ntilie kama mpo humu naomba mbadilike mnatulisha uchafu, jitahidini kuwa wasafi.
Hahaha kitu cha buku noma sanaUnakula wali maharage unakutana na mfupa wa samaki😂😂
Ahahaha [emoji119]Unakula wali maharage unakutana na mfupa wa samaki[emoji23][emoji23]
Kasheshe.Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi.
Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana kimetoka kutumika muda si mrefu bado kina mabaki ya chakula. Kwa maana hiyo hakijasafishwa vizuri
Maeneo ya kulia chakula hasa mezani, nzi kibao unakula chakula mara nzi kadondokea kwenye chakula inatia kinyaa.
Mama ntilie kama mpo humu naomba mbadilike mnatulisha uchafu, jitahidini kuwa wasafi.
Wakishua sio😂😂😂Hizi mambo zinaendaga na Hali ya umaskini... Mama mwenyew ukimgusa kichwani utamkuta la saba B, ukiangalia mtaji utakuta elf 14, anapikia kuni. Nlikulaga mihogo Kwa WAMAMA flani hivi mbagala hapo loh! Mihogo imechemshwa yule mama anajikuna makwapa alafu anaokota mihogo anaikaanga mbele yangu. Nkajiuliza kachumbali kaikata vipi???. Mm kula hovyo hovyo HAPANA
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Vyovyote vile mzee huwez kunlisha uzembe kirahisrahisWakishua sio[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Unakula wali maharage unakutana na mfupa wa samaki[emoji23][emoji23]