Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

labda wajifunze jinsi ya kupata ubwabwa toka kwa wapumbavu kama wewe .
alafu umenikumbusha kuna vicheche uwa vina kenua majambio yao vikiwa na punje za mchele kwenye vijambio kukamata kuku wadonyowaji.
 
Vijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!, viongozi wao wanakula za tonetone, vijana wao wanawajaza ghazabu na hasira 😇😇😇
 
Vijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!
sasa anaye lalama ni mimi au wewe angalia mada zako una ongea nini kuhusu tanzania. serikali inafanya ujinga we unasifu
 
Chaumma isuke kikosi cha vijana wajenga hoja,vijana wa chadema siku hizi ni matusi tu.

Soon tutarajie Wing ya Vijana, Wanawake na Wazee chaumma iwe kali kama moto wa gesi
 
Chaumma isuke kikosi cha vijana wajenga hoja,vijana wa chadema siku hizi ni matusi tu.

Soon tutarajie Wing ya Vijana, Wanawake na Wazee chaumma iwe kali kama moto wa gesi
Chaumma the best ✔
Utalalama mpaka lini?, mwishowe kuoteshana mvi mapema tu!, chadema waulize utatufanyia nini?, hakuna jibu. Wao wanapigana na mamlaka kwanza.
 
Nimtie nguvu J. Mrema, asikate tamaa pamoja na hujuma nyingi sana kutoka chadema.
 
Chama ni cha Serikali Mzee Spunda aka Ubwabwa kashamaliza kila kitu - hata yeye hajui hatma yake hadi muda huu.
 
Ubwabwa kwa viongozi wapenda madaraka na kutumia ruzuku makao makuu na chopa, ruzuku haifiki matawini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…