Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Sera nzuri, hiyo ya elimu Bure na hiyo ya mafao ya wazee. Tatizo litakuwa kwenye utekekezaji wa elimu ya
Chaumma the best ✔
Utalalama mpaka lini?, mwishowe kuoteshana mvi mapema tu!, chadema waulize utatufanyia nini?, hakuna jibu. Wao wanapigana na mamlaka kwanza.
Adui wa mwananchi ni mamlaka hii ya ...
 
IMG_20250605_204438_283.jpg
 
Vijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!, viongozi wao wanakula za tonetone, vijana wao wanawajaza ghazabu na hasira 😇😇😇
Wanafundishwa kulalama, kukna wao pekee ndio upinzani yaani ukitoka kwao tu basi wewe ni pandikizi
 
Vijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!, viongozi wao wanakula za tonetone, vijana wao wanawajaza ghazabu na hasira 😇😇😇
Umepewa kazi ya kukipambania chama cha chauma mitandaoni?
 
Of course baadhi ya sera tamu za chaumma zimeanza kuchotwa na Vyama vingine, HONGERA SANA!
 
IMG_20250612_100542_716.jpg

INFACT CHAUMMA INAKWENDA KUHIMIZA ZAIDI BIASHARA KWA NCHI ZA KIAFRIKA ZAIDI KULIKO NCHI ZA NJE, BIASHARA, AFRICA KWA AFRICA INAWEZEKANA KWA 100%,(HAYA PIA NI MAONO YA TRAORE)
 
labda wajifunze jinsi ya kupata ubwabwa toka kwa wapumbavu kama wewe .
alafu umenikumbusha kuna vicheche uwa vina kenua majambio yao vikiwa na punje za mchele kwenye vijambio kukamata kuku wadonyowaji.
Demokrasia usiinajisi kwa matusi. Toa hoja barazani ijadiliwe
 
Back
Top Bottom