Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Kichekesho sana yaani wanalumumba wanapoisifia tawi lao walilolitengeneza na kulipa msaada wa kifedha usiku.

Halafu mchana wanasema tawi hilo ni tishio.

Mnafikiri tupo 1970 , kwamba ukijulikana una TV ndani utapewa kesi ya uhujumu uchumi huku nyie mnazo ndani halafu mje mtudanganye jana mmeona mreno kamkimbia Samora Machel.
 
labda wajifunze jinsi ya kupata ubwabwa toka kwa wapumbavu kama wewe .
alafu umenikumbusha kuna vicheche uwa vina kenua majambio yao vikiwa na punje za mchele kwenye vijambio kukamata kuku wadonyowaji.
Lazima utukane kwasababu chama chako HAKINA sera na hakishiriki Uchaguzi Mkuu. Endelea kutukana maana hakuna jinsi.
 
Naomba nionyeshe Furaha yangu pale chama cha kisiasa kinapokuwa kikijinadi zaidi kuliko kulalama, kana kwamba kinaonewa chenyewe tu! (kinalia lia) View attachment 3356989
IMG_20250607_161030_362.jpg
 
Chaumma isuke kikosi cha vijana wajenga hoja,vijana wa chadema siku hizi ni matusi tu.

Soon tutarajie Wing ya Vijana, Wanawake na Wazee chaumma iwe kali kama moto wa gesi
Nani atashindia ubwabwa tu SLOGAN MFU KABILA. KUSHINDIA UBWABWA NI DALILI YA UVIVU. badilisheni slogan haileti maana pana zaidi ya kufikiria mlo. Ndiyo maana Mrema na genge lake wanafikiria mlo rudisheni pesa za watu watanzania wameshtuka.
 
Back
Top Bottom