Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

Nani atashindia ubwabwa tu SLOGAN MFU KABILA. KUSHINDIA UBWABWA NI DALILI YA UVIVU. badilisheni slogan haileti maana pana zaidi ya kufikiria mlo. Ndiyo maana Mrema na genge lake wanafikiria mlo rudisheni pesa za watu watanzania wameshtuka.
Chaaba is in S. A, asigning kaizer chief
Kwani kampeni zimeanza?
Dodoso
 
LOOKS LIKE NORMAL OLD FASHIONED TALES OF SUNGURA MJANJA SONGS WHICH IS USELESS
 
Chaumma Matatapeli watupu, watanzania wameshastuka.
Kwa sasa kiini cha matatizo washakijua na njia ya kwanza kabisa ni kubadikisha sheria za Uchaguzi.

No reforms No Election

Ukikutana na chama eti kinasema kitakwenda hivyo hivyo kwa uchaguzi hicho ni cha kukataa kama UKOMA.
 
Sera ya chaumma kuhusu ardhi ni pana kidogo, lakini muhtasari unaweza kukujuza:-
----------------------

"Any Man Who sells LAND, sells the Future of his own children. Our land is sacred to us. We don't own our land, our land owns us. From it we came from.

#Chaumma 2025 - 2030 ✔
 
Back
Top Bottom