Adui wa mwananchi ni mamlaka hii ya ...Chaumma the best ✔
Utalalama mpaka lini?, mwishowe kuoteshana mvi mapema tu!, chadema waulize utatufanyia nini?, hakuna jibu. Wao wanapigana na mamlaka kwanza.
Tunataka mambo kama haya, hatutaki blah blah za chandomo! /ubwabwa unaangukia kwenye category ya lishe bora kwa kila Mtanzania ✔Umesahau Ubwabwa,
Wanafundishwa kulalama, kukna wao pekee ndio upinzani yaani ukitoka kwao tu basi wewe ni pandikiziVijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!, viongozi wao wanakula za tonetone, vijana wao wanawajaza ghazabu na hasira 😇😇😇
Umepewa kazi ya kukipambania chama cha chauma mitandaoni?Vijana wa lalama lalama da hawana jema! Chadema itasababisha vijana wake waote mvi mapema sana, wanawajaza Sonoma kila uchwao!, viongozi wao wanakula za tonetone, vijana wao wanawajaza ghazabu na hasira 😇😇😇
Ndugu zetu chadema habari ya kukopi sera za vyama vingine siyo utaratibu mzuri, ona alichoongea Heche leo!
Chama Cha upinzani ni chadema pekee hivi vingine vipo kuuwa upinzani tu.💯
Ubwabwa buree.Naomba nionyeshe Furaha yangu pale chama cha kisiasa kinapokuwa kikijinadi zaidi kuliko kulalama, kana kwamba kinaonewa chenyewe tu! (kinalia lia) View attachment 3356989
Demokrasia usiinajisi kwa matusi. Toa hoja barazani ijadiliwelabda wajifunze jinsi ya kupata ubwabwa toka kwa wapumbavu kama wewe .
alafu umenikumbusha kuna vicheche uwa vina kenua majambio yao vikiwa na punje za mchele kwenye vijambio kukamata kuku wadonyowaji.
No Reform No ElectionSijaona chama chenye sera nzuri zinazolenga kumkomboa kijana kwa wepesi kama sera za CHAUMMA, View attachment 3365482
Hii slogan ni empty, tupo na hiiNo Reform No Election
No Reform No ElectionHii slogan ni empty, tupo na hii View attachment 3365728