Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

Biashara ni matangazo, sasa kama inafichwafichwa itawezaje kutoa kwenye soko lenye ushindani?

Hataki kondoo waone namna sadaka zao zinatumika kwenye mambo yasiyo ya kiroho?
 
EvilSpirit
Mkuu ni huyu huyu wa kawe pale au unazungumzika mtu anatumia jina la ubin mwamposa??
Hebu leta document na picha za ushahidi tuthibitishe kama sio chai yenye tangawizi nyingi hii
Ni huyo huyo juz juzi alikua anazindua
EvilSpirit
Mkuu ni huyu huyu wa kawe pale au unazungumzika mtu anatumia jina la ubin mwamposa??
Hebu leta document na picha za ushahidi tuthibitishe kama sio chai yenye tangawizi nyingi hii
 
Chaajabu ni kuwa, Hana kanisa Rasmi ana kodisha maeneo tu na kuhama hama Leo vatikan Sinza kesho yupo Tanganyika peakers .. sasa una jiuliza kama. ana uwezo wa kujenga hotel Yake binafsi

mbona hakuweza kuzikusanya amjengee Mungu Madhabahu ya Kudumu? akifa leo Ana acha kanisa gani la kuendelea kumtukuz bwana au ndio basi na huduma ina kufa??
Hapa ndo huwa watumishi wengi wa Mungu nashindwa kuwaelewa. Kwanini hawajengi makanisa kama RC na KKKT.
 
Kuna mtu amesema si pa kawaida shehe?
Mbna picha hamna , hotel inafichwa fichwa kama madawa ya kulevya , Ile itakuwa lodge type, Ila Kwa sababu ya umaarufu ndo inapewa airtime
 
Mbna picha hamna , hotel inafichwa fichwa kama madawa ya kulevya , Ile itakuwa lodge type, Ila Kwa sababu ya umaarufu ndo inapewa airtime
Hahaha nani anaifichaficha mkuu
 
Em wakuu mnisaidie mie nikiona hivi nawaza like hii project labda ni letsay ya 2billion so hapa nafkiria hii pesa atarudisha na faida kwa muda mfupi najikuta naona hapana labda faida ataila baada ya letsay 20yrs sasa naona kama haina maana
 
Wanaotoa sadaka wengine, wenye uchungu wengine! Nchi hii watu wachawi wachawi
 
Ni jambo jema kuonyesha anatumia vizuri sadaka za waumini wake.

Ingekuwa jambo la ajabu kukosa mafanikio kama haya ikizingatiwa yeye ndio mtoa mafuta ya upako.
Itakuwa mwenyewe anapaka yale grade 1 kabisa kabla hayajazimuliwa.

Natumai waumini wake watakuwa wana punguzo maalum hapo hotelini maana ni wachangiaji wakuu.
Nimecheka sana hii comment 😂😂😂
 
Back
Top Bottom