Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyo huyo juz juzi alikua anazinduaEvilSpirit
Mkuu ni huyu huyu wa kawe pale au unazungumzika mtu anatumia jina la ubin mwamposa??
Hebu leta document na picha za ushahidi tuthibitishe kama sio chai yenye tangawizi nyingi hii
EvilSpirit
Mkuu ni huyu huyu wa kawe pale au unazungumzika mtu anatumia jina la ubin mwamposa??
Hebu leta document na picha za ushahidi tuthibitishe kama sio chai yenye tangawizi nyingi hii
Hapa ndo huwa watumishi wengi wa Mungu nashindwa kuwaelewa. Kwanini hawajengi makanisa kama RC na KKKT.Chaajabu ni kuwa, Hana kanisa Rasmi ana kodisha maeneo tu na kuhama hama Leo vatikan Sinza kesho yupo Tanganyika peakers .. sasa una jiuliza kama. ana uwezo wa kujenga hotel Yake binafsi
mbona hakuweza kuzikusanya amjengee Mungu Madhabahu ya Kudumu? akifa leo Ana acha kanisa gani la kuendelea kumtukuz bwana au ndio basi na huduma ina kufa??
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Biashara ya dini inalipa balaa,
Hakuna Cha tra, bima Wala manispaa[emoji4]
Kuna mtu amesema si pa kawaida shehe?
Mbna picha hamna , hotel inafichwa fichwa kama madawa ya kulevya , Ile itakuwa lodge type, Ila Kwa sababu ya umaarufu ndo inapewa airtimeKuna mtu amesema si pa kawaida shehe?
Hahaha nani anaifichaficha mkuuMbna picha hamna , hotel inafichwa fichwa kama madawa ya kulevya , Ile itakuwa lodge type, Ila Kwa sababu ya umaarufu ndo inapewa airtime
Mbeya ifisi mzeeIko ndo kituko kingine aseme hapo ni wapi
NimeshangaaKuna mtu amesema si pa kawaida shehe?
Wakristo mnapigwa kila konaWanaotoa sadaka wengine, wenye uchungu wengine! Nchi hii watu wachawi wachawi
Nimecheka sana hii comment 😂😂😂Ni jambo jema kuonyesha anatumia vizuri sadaka za waumini wake.
Ingekuwa jambo la ajabu kukosa mafanikio kama haya ikizingatiwa yeye ndio mtoa mafuta ya upako.
Itakuwa mwenyewe anapaka yale grade 1 kabisa kabla hayajazimuliwa.
Natumai waumini wake watakuwa wana punguzo maalum hapo hotelini maana ni wachangiaji wakuu.