Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Solu tape = solution tape
Rubber band = bala bendi
Ambles = ambulance
Ongezea Mengine unayo ya jua...
Rubber band = bala bendi
Ambles = ambulance
Ongezea Mengine unayo ya jua...
Iyo sait mirror uki mkuta mtu ana itaja ana kuwa ana jiamin sanaMachinga = matching guy
Saiti mirror= side mirror
Azwea saaa 🤣🤣🤣Tena haswa kwa wale watu
We are one = wiiiiii waaaa
As you where = Azweaa
Dah nomaHelmet - Elementi.
🤣🤣🤣 malu maluSingi bodi - ceiling board
Hapo ume wagusa watu wa mapenzi 😆I Lavyu= I LOVE YOU
Charaktaristic 🤣 characteristicsMitsubishi -Mistbubishi.
Washez sana sasaiv wame weka geti la pili uwezi vusha magendo kabisa kuna get mbili duhTena haswa kwa wale watu
We are one = wiiiiii waaaa
As you where = Azweaa
Flyweel- Fala wili.Solu tape = solution tape
Rubber band = bala bendi
Ambles= ambulance
Ongezea Mengine unayo ya jua
Kuna binti wa kule Mara aliniambia nimnunulie "chokreti" badala ya chocolate...Tena haswa kwa wale watu
We are one = wiiiiii waaaa
As you where = Azweaa