King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Kariokoo= carrier cargo
WahayaTena haswa kwa wale watu
We are one = wiiiiii waaaa
As you where = Azweaa
Lipo wapi la pili 🤣🤣Washez sana sasaiv wame weka geti la pili uwezi vusha magendo kabisa kuna get mbili duh
🤣🤣Kama tu wakaka wa Arusha na moshi hawawezi sema dirisha wanasema drishaKuna binti wa kule Mara aliniambia nimnunulie "chokreti" badala ya chocolate...
Ninaahidi kuendelea kuiita FRAMPEN...😄Frying pan- frampen
BamdogooGlory = Groli
Wairaqw wao ni MUTKA badala ya Motor car
Pisi ya mara na chocolate wapi na wapi!! Hata hivo kajitahidi, kitendo cha kutambua kama hyo kitu ipo tu ni hatua kubwa sana kwake.Kuna binti wa kule Mara aliniambia nimnunulie "chokreti" badala ya chocolate...
Kuepuka lawama zote ni solotepu mkuu 🤣Seal tape au water seal tapes tofauti na cello tape.
Seal tape haina gundi hainati.
Cello tape ina gundi.
Tofautisheni Kati ya :
Cello tape, insulation tape, masking tape, na seal tape.
Hizo tatu za mwanzo zote Zina gundi isipokuwa hiyo ya mwisho seal tape.
🤣🤣🤣Lwanda kaamua, 🤣🤣 lipo kwa pale unapandisha kilima kwa RSM?Shamba la maharagwe imagen
View attachment 3518216
Kwakwel😄Ninaahidi kuendelea kuiita FRAMPEN...😄
Sio matching guy, ni Marching guyMachinga = matching guy
Saiti mirror= side mirror