The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Hivyo ni vitu viwili tofauti masta,Insulation tape (mtaani hasa wanaiita Vini Tape)Siyo solution tape mkuu, inaitwa Seal Tape
Hii ni kwa ajili ya kufungia waya za umeme zisigusane wakati seal tape/thread tape (mtaani wanaziita Sredi tepu)