Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndugu.Khaa...si ubadilishwe mpango tuachane na daraja, mambo gani kutwishana mitusi hivyo...labda sio kipaumbele kwao...
Rais wa Tanganyika ni nani? maana Rais wa Zanzibar ni Mwinyi, OK labda mnaendeshwa kifalme basi tuambie waziri mkuu nani na huyo mfalme wa Tanganyika ni nani?Tanganyika ipo na watanganyika tupo
Hakuna kinacho dumu milele , utavunjika tuWakumvunja Nani nyie wavaa kobazi
Asili ya wazanzibar wengi ni mikoa ya Kigoma na Tabora, kule walichukuliwa na kupelekwa kufanya kazi kwenye mashamba ya waarabu. Ndiyo maana hadi leo hii ukienda hiyo mikoa baadhi ya sehemu, kama ni mgeni unaweza kusema nililala nikaamkia Zanzibar walivyofanana kiasiliAsili ya Mzanzibar wa sasa ni wapi?
Kwa baadhi ya Wazanzibar wa sasa kuitukana au kutukana watu wa Bara ni kama mtu anayetukana asili yake tu...
Kubadilishwa majina yenu na Waarabu haiondoi asili yenu...
Ni ajabu Mzanzibar anaona ndugu zake ni Waarab walio maili nyingi huko, huku wanawakana ndugu zao wa Bara walio umbali mfupi tu hapo...
Sasa Tanganyika na zanzibar wapi penye manufaa kwa mwenzake..? Acheni upumbavuKitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna.
Bahati mbaya sana watanganyika mnaona Tanganyika yenu kama Choo fulani hivi cha stendi ambapo nyinyi watanganyika ni wasafiri tu unaoingia kujisaidia na kusepa!
Watanganyika acheni kulalamika na kujipendekeza ovyo, nanyi kuweni na wivu na nchi yenu, hakuna mzanzibar anawataka watanganyika kwenda Zanzibar ili kufaidika na chochote.