Elimu ndogo. Hata ukiangalia mwandiko wao tu utajua hamna kitu kichwani. Zanzibar ni ya kuonea hurumaKwanini hao walio comment wana chuki kiasi hiko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ndogo. Hata ukiangalia mwandiko wao tu utajua hamna kitu kichwani. Zanzibar ni ya kuonea hurumaKwanini hao walio comment wana chuki kiasi hiko?
Tanzania ndio inatakiwa kuvunjika, vilio haviwezi koma mpaka nyonya damu Tanzania avunjikeBasi acheni kulialia
Na babaake aliyewatawala?Hussein mwinyi
Yalivyo mapunguani hata hayajui hiloNa babaake aliyewatawala?
Wakumvunja Nani nyie wavaa kobaziTanzania ndio inatakiwa kuvunjika, vilio haviwezi koma mpaka nyonya damu Tanzania avunjike
Mashoga elfu 2 kwa mkoa inatisha, inabidi utathmini ndugu zako wa kiume ukiwamo na wwPemba ndiyo makao Yao makuu
Things is going on you never know kuhusu uitao muungano unao waneemesha, iko siku mirija itakatika tuone tanganyila watalipana vipi mishahara na kumudu chakula chaoDuh,kuhusu mashoga nadhani wewe kausha tuu.
Ukianza kulinganisha hiyo mambo aisee utaumbuka. Maana hata ukiulizwa nini kilitokea wakaungana ,hujui so kuwa mpole tuu.
Maana hiyo stone town khatari vijana na mabaharia wa zamani plus wazungu.
Kiufupi hii achana nayo utafukua mengi.
Muungano hauvunjiki na hautokaa uvunjike nitakufa nitauacha.
Mashoga 2000 kwenye mkoa Wenye watu milion 6 ni sawasawa na %0 Zanzibar yenye watu milion 1.8 cha ajabu wanaojihusisha na ushoga ni laki 121500Mashoga elfu 2 kwa mkoa inatisha, inabidi utathmini ndugu zako wa kiume ukiwamo na ww
Takuwimu za huko usengeni kwenu kwa Mujibu wa Mwakiyembe zimevunja record kuliko maeneo yoyote Tz, wabongo wanapenda sana hela ndio mana imekuwa hivyo, watanganyika ni wavivu sn wapenda omba omba mpaka sasa tunawaita wabana puaMashoga 2000 kwenye mkoa Wenye watu milion 6 ni sawasawa na %0 Zanzibar yenye watu milion 1.8 cha ajabu wanaojihusisha na ushoga ni laki 121500
Mawazo haya ndiyo wazanzibar wengine wasio na exposure wanayo.Shida sio Muungano shida ni ulosefu wa maarifa ya kuijua Tanzania.Mkiona mapori kwenu na Dar haina Mapori mnaona mmeshaimaliza Tanzania.Kila kona ya Zanzibar kuna wabara wanauza dawa za panya sumu za mende na wengine wamejazana kule mashamba wanalima viazi...
Tanzania ndio ya kuvunjwa ili Zanzibar iwe huru na nchi iliokufa Tanganyika nayo ifufukeWakumvunja Nani nyie wavaa kobazi
Tanganyika ipo na watanganyika tupoTanzania ndio ya kuvunjwa ili Zanzibar iwe huru na nchi iliokufa Tanganyika nayo ifufuke
Tanganyika iko wapi mzee acha bangi? Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Zanzibar ipo kama nchi ebu tuonyeshe nchi ya Tanganyika?Tanganyika ipo na watanganyika tupo
Hakuna shida nyinyi wabara kuoa binti wa Kizanzibar, ila kwa wazanzibar wengi wanaona hiyo ni fedheha. Yaani kafir anakuja kuchukua binti wa kizenji anampeleka bara kumbatiza, kumlisha kitimoto na pombe!Kwani mkuu kuna shida tukioa binti wa kizanzibar???
Daaah ila watu wa huko wanashida sana, mbona vyuoni tulikuwa tunaishi nao vyema hadi misikitini tunawapa waongoze ibada ila sie kuja kwenu mnaona kama nongwa
Sasa anaewataka nyie nani? Viongozi wenu kutokana na tamaa zao za madaraka wanashindwa kudai nchi yenu makasiriko mtuletee sisi. EboKitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna...
Akili zao ndogoKwanini hao walio comment wana chuki kiasi hiko?
Asante sana.Dawa ya mtu mjinga ni kumtawala kwa mkono wa chuma tuu maana hana akili
Kama hujui hiyo Zanzibar ni kolon la Tanganyika maamuz yote yanatoka Tanganyika
Tanganyika ndiyo inayoamua nan awe rais huko
Wajinga nyie
Nimesema chuki za wazanzibar dhidi ya watanganyika ni jambo la kupandikizwa na kichocheo cha yote hayo ni huu muungano wa kitapeli tapeli. Uvunjwe au uundwe upya, ghafla utaona namna hizo chuki zitakavyopotea au kupungua.Whatever the case may be,it does not justify so much hate.Afterall Muungano umeletwa na Serikali za Tanganyika na Zanzibar,sio Watanganyika,kwa...