Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Duh,kuhusu mashoga nadhani wewe kausha tuu.
Ukianza kulinganisha hiyo mambo aisee utaumbuka. Maana hata ukiulizwa nini kilitokea wakaungana ,hujui so kuwa mpole tuu.
Maana hiyo stone town khatari vijana na mabaharia wa zamani plus wazungu.
Kiufupi hii achana nayo utafukua mengi.
Muungano hauvunjiki na hautokaa uvunjike nitakufa nitauacha.
Things is going on you never know kuhusu uitao muungano unao waneemesha, iko siku mirija itakatika tuone tanganyila watalipana vipi mishahara na kumudu chakula chao
 
Mashoga elfu 2 kwa mkoa inatisha, inabidi utathmini ndugu zako wa kiume ukiwamo na ww
Mashoga 2000 kwenye mkoa Wenye watu milion 6 ni sawasawa na %0 Zanzibar yenye watu milion 1.8 cha ajabu wanaojihusisha na ushoga ni laki 121500
 
hivi kuna mbara huwa anapenda hata kutembelea tu zanzibar? na wao hawa wanaokaanga chips barabarani bara warudi tu kwao. hawa ni wa kuwaonea huruma tu.
 
Mashoga 2000 kwenye mkoa Wenye watu milion 6 ni sawasawa na %0 Zanzibar yenye watu milion 1.8 cha ajabu wanaojihusisha na ushoga ni laki 121500
Takuwimu za huko usengeni kwenu kwa Mujibu wa Mwakiyembe zimevunja record kuliko maeneo yoyote Tz, wabongo wanapenda sana hela ndio mana imekuwa hivyo, watanganyika ni wavivu sn wapenda omba omba mpaka sasa tunawaita wabana pua
 
Kila kona ya Zanzibar kuna wabara wanauza dawa za panya sumu za mende na wengine wamejazana kule mashamba wanalima viazi...
Mawazo haya ndiyo wazanzibar wengine wasio na exposure wanayo.Shida sio Muungano shida ni ulosefu wa maarifa ya kuijua Tanzania.Mkiona mapori kwenu na Dar haina Mapori mnaona mmeshaimaliza Tanzania.
 
Kwani mkuu kuna shida tukioa binti wa kizanzibar???

Daaah ila watu wa huko wanashida sana, mbona vyuoni tulikuwa tunaishi nao vyema hadi misikitini tunawapa waongoze ibada ila sie kuja kwenu mnaona kama nongwa
Hakuna shida nyinyi wabara kuoa binti wa Kizanzibar, ila kwa wazanzibar wengi wanaona hiyo ni fedheha. Yaani kafir anakuja kuchukua binti wa kizenji anampeleka bara kumbatiza, kumlisha kitimoto na pombe!
 
Kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa, Wazanzibar tunaona Zanzibar yetu kama Keki au dhahabu fulani hivi ya thamani kubwa huku tukiiona Tanganyika kama shamba fulani la bibi ambalo hata ngerede wanaingia kuvuna...
Sasa anaewataka nyie nani? Viongozi wenu kutokana na tamaa zao za madaraka wanashindwa kudai nchi yenu makasiriko mtuletee sisi. Ebo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Dawa ya mtu mjinga ni kumtawala kwa mkono wa chuma tuu maana hana akili

Kama hujui hiyo Zanzibar ni kolon la Tanganyika maamuz yote yanatoka Tanganyika

Tanganyika ndiyo inayoamua nan awe rais huko

Wajinga nyie
Asante sana.
Sisi wazanzibar na nyinyi watanganyika nani ana akili ya kumtawala mwenzie.

Sisi wajinga ndio tunaitawala sasa Tanganyika tena kwa kutumia mwanamke. Yaani Tanganyika yote imekosa mwanaume wa kuwaongoza mpaka mkakopa mwanamke kutoka Unguja!
 
Whatever the case may be,it does not justify so much hate.Afterall Muungano umeletwa na Serikali za Tanganyika na Zanzibar,sio Watanganyika,kwa...
Nimesema chuki za wazanzibar dhidi ya watanganyika ni jambo la kupandikizwa na kichocheo cha yote hayo ni huu muungano wa kitapeli tapeli. Uvunjwe au uundwe upya, ghafla utaona namna hizo chuki zitakavyopotea au kupungua.

Upande wa pili, chuki za uislam dhidi ya imani zingine zinazokuja kuuvuruga uislamu ni jambo lisiloweza kuepukika miongoni mwa waislamu wengi. Ni kitu halisi, Uislam haufagili kabisa uwepo wa imani zingine shindani. Hilo liko popote duniani. Yaani uwaletee wazanzibar makanisa, pombe na kitimoto halafu wazanzibar wachekelee, hiyo haipo.

Yote kwa yote, kwanini watanganyika mjipendekeze kwa wazanzibar, hawawataki na hawataki huu muungano wenu. Kwanini ukumbatie jiko la mkaa lilloiva moto?
 
Back
Top Bottom