Baadhi ya Masheikh acheni unafiki. Mwingine aibuka na kusema mafuta sio dhambi

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Huu ni mwaka wao

Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk

Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa anatoa hoja jukwaani, na baada ya hapo akiwa anawapa pesa za kujikimu baada ya mkutano.

Sheikh Firdaus Shairifu hana tofauti na dr. Sule katika eneo hilo la kuagua. Nikawaza si huyu huyu Shafii ndio alikuwa anaponda mambo haya kiasi cha kutuambia akiwa na Mazinge eti kwanini mnafanya mdahalo na mganga wakimaanisha Sule.

Ila na wao wanapokea pesa za mnganga Firdaus, na niliposhangaa zaidi ni Dr. Sule alipokuja katika mkutano kama mtazamaji, naye akawachangia pesa na wakachukua. Yaani unaponda uganga halafu tena unakula pesa za mnganga, huu si unafiki kweli?

Haya sasa, naye kaibuka kutetea anapokula naam akitetea mafuta akiyapa jina lilelile ambao wakristo wanatumia yaani "upako" kama sheikh wake naam tajiri yake wa kiganga anavyotumia kuyaita. Kweli usicheze na mpunga.

Kweli Uislamuni mwaka huu kumechangamka......

Na Jeff Massawe

Screenshot_20241015-222050_1.jpg
afiki
 
Swali uliwashawai kuingia msikiti ukakuta hayo mafuta yamewekwa mbele au yanauzwa humo?

Hao wanafanya kwa utashi wa nafsi zao tamaa za maisha ya Dunia ndio zinawaendesha na wala hakuna muislam atakae waelewa kama wakristo wanavyojaza pale kwa mwamposa kuyachukua, sio Kila alievaa kanzu ni sheikh mpaka mtu aitwe sheikh ujue mtu mwenyewe elimu ya dini haswa uningesikia maneno hayo yamesemwa na nudreen kishk au sheikh mansour.

Hapo kidgo ningeona kuna tija ya kujenga hoja ila hao wahuni hata juzu ama hawajahifadh.. haitushitui UISLAM SIO DINI YA MCHEZO TUMEKAMILIKA HATA ULETE UZUSHI HAKUNA ATAEKUFATA
 
Ukiwa na hao watu kama kumi, yataanza kuuzwa msikitini. Kama wanavyouza vumbi la kongo na dawa kama hizo. Dunia hii tumtafute Mungu wa kweli. Hawa waganga njaa wanavuruga sana mambo
 
Sasa hivi wanauza sana bila kificho
 
Ukiwa na hao watu kama kumi, yataanza kuuzwa msikitini. Kama wanavyouza vumbi la kongo na dawa kama hizo. Dunia hii tumtafute Mungu wa kweli. Hawa waganga njaa wanavuruga sana mambo
Msikiti upi..!? Kama tu sisi wenyewe hatufanyii vikao ndani ya misikiti sembuse kulete huo upuuzi Yani upande kwenye minbal hayo matakataka huo ndio utakuwa mwisho wako hatupendi mchezo na dini labla afungue msikiti wake na asitegemee kuona mtu akienda kusali humo
 
Swali uliwashawai kuingia msikiti ukakuta hayo mafuta yamewekwa mbele au yanauzwa humo?

Hao wanafanya kwa utashi wa nafsi zao tamaa za maisha ya Dunia ndio zinawaendesha na wala hakuna muislam atakae waelewa kama wakristo wanavyojaza pale kwa mwamposa kuyachukua, sio Kila alievaa kanzu ni sheikh mpaka mtu aitwe sheikh ujue mtu mwenyewe elimu ya dini haswa uningesikia maneno hayo yamesemwa na nudreen kishk au sheikh mansour.

Hapo kidgo ningeona kuna tija ya kujenga hoja ila hao wahuni hata juzu ama hawajahifadh.. haitushitui UISLAM SIO DINI YA MCHEZO TUMEKAMILIKA HATA ULETE UZUSHI HAKUNA ATAEKUFATA
Sheikh sharif majini ameanza kuuza mafuta kitambo sana Hadi amekuwa tajiri, ni vile aliacha kujitangaza kwenye media, alifanywa nini? Tena misikitini na kwenye mihadhara alikuwa Anaitwa kama mgeni rasmi, wewe labda mgeni

Huyu wa sasa Anaitwa sheikh Firdaus Sharifu

Hapo akitoa upako wa Allah kwa waumini wa kislamu na kufanya maombezi ya kufunguliwa......Tena ndani ya misikiti, ( nimeshindwa kupandisha video)

Ukija hapa ukasema si sheikh basi ni juu yako. Sisi tulitambulishwa na umoja wa wahadhiri wa waislamu Tanzania kuwa ni shekhe na akapewa nafasi ya kuomba dua katika mkutano wa muhadhara wa Sinza kwa upande wa Waislamu. Na vyombo vyake vya habari vilitumika pia kurushia mdahalo huku yeye akipewa heshima kubwa mbele ya Waislamu. Na ukiangalia video za mkutano utamwona akiwa amevalia sawa na hapo katika clip akimwaga pesa kwa wahadhiri wa kislamu, yaani Shafii, Mazinge na Kinyogori nk......hawa wote wanamponda Sule sana anapofanya mambo kama haya ila mbele ya Sharifu huyu, walibeba hela.

Uislamuni kumechangamka
 
Msikiti upi..!? Kama tu sisi wenyewe hatufanyii vikao ndani ya misikiti sembuse kulete huo upuuzi Yani upande kwenye minbal hayo matakataka huo ndio utakuwa mwisho wako hatupendi mchezo na dini labla afungue msikiti wake na asitegemee kuona mtu akienda kusali humo
Sharif majini ameuza sana mafuta pale misikiti wa mabibo mwisho Hadi amekuwa tajiri mkubwa akataka kugombea na ubunge ,

Wewe usikatae ,tutakuletea video watu wakimwagiwa mafuta ndani ya misikiti ,
 
Anauzia ndani ya msikiti au nje..!? Ulishawai kusikia ananadi kuita sijui mafuta ya upako na kuanza kutoa ushahidi wa Aya za Quran..!? Kuuza mafuta sio kosa wala hakuna anaezuia uza mafuta ya zaitun, nyonyo, tini, ukitaka tengeneza yako uza sema yanatibu mapunye, yanaleta utajiri ni wewe tu hakuna anaekukataza ila usitumie mgongo wa dini kama wanavyofanya kina mwamposa sharifu majini yeye anafanya kwa gani yake ya uganga na sio mgongo wa dini sasa hao masheikh maandazi wanaongea na kutaka kutumia mgongo wa dini na kuiga Mila za manaswara kama kina mwamposa waambieni uislam hauko hivyo wataumia
 
Sasa wenzako Tena masheikh wanafanya vile vile wanauza na wanasema yana upako na hakuna wanachofanywq ,sharif majini Hadi amekuwa tajiri, Sule amekuwa tajiri , na wanauzia misikitini,

Wewe upo hapa eti kutetea dini ,
 
Sheikh sharif majini ameanza kuuza mafuta kitambo sana Hadi amekuwa tajiri, ni vile aliacha kujitangaza kwenye media, alifanywa nini? Tena misikitini na kwenye mihadhara alikuwa Anaitwa kama mgeni rasmi, wewe labda mgeni

Huyu wa sasa Anaitwa sheikh Firdaus Sharifu

Hapo akitoa upako wa Allah kwa waumini wa kislamu na kufanya maombezi ya kufunguliwa......Tena ndani ya misikiti, ( nimeshindwa kupandisha video)

Ukija hapa ukasema si sheikh basi ni juu yako. Sisi tulitambulishwa na umoja wa wahadhiri wa waislamu Tanzania kuwa ni shekhe na akapewa nafasi ya kuomba dua katika mkutano wa muhadhara wa Sinza kwa upande wa Waislamu. Na vyombo vyake vya habari vilitumika pia kurushia mdahalo huku yeye akipewa heshima kubwa mbele ya Waislamu. Na ukiangalia video za mkutano utamwona akiwa amevalia sawa na hapo katika clip akimwaga pesa kwa wahadhiri wa kislamu, yaani Shafii, Mazinge na Kinyogori nk......hawa wote wanamponda Sule sana anapofanya mambo kama haya ila mbele ya Sharifu huyu, walibeba hela.

Uislamuni kumechangamka
Kuuza sio kosa wala sharifu majini hajawai kutumia mgongo wa dini Kuna malazi ya kijini hata sisi katika uislam baada ya kusomea ruqya Kuna mafuta utanunua na kutumia yawezakuwa tini zaitun n.k sio kosa ila kosa ni kutumia mgongo wa dini na kuleta uzushi.. sharifu majini anauza sikatai unaweza kuyauza nje kwenye midahalo yako lakini huwezi kupanda nayo kwenye minbal ukanadi biashara zako kama kina mwamposa
 
Sasa wenzako Tena masheikh wanafanya vile vile wanauza na wanasema yana upako na hakuna wanachofanywq ,sharif majini Hadi amekuwa tajiri, Sule amekuwa tajiri , na wanauzia misikitini,

Wewe upo hapa eti kutetea dini ,
Kati hayo uliotaja leta Short video. Ikionyesha hata mmoja kati hao Yuko msikitini mbele ya minbal ananadi au nauza hayo mafuta Mimi nina 500k chap hapa.. unaongea hivyo sababu hujaufahamu msikiti vizuri ndio maana unaongea tu
 
Sasa mafuta yakiingia kwa wavaa pedo si itakua tabu sana, kwanza hawana elimu kabisa wataendeshwa kama mambuzi. Ngoja tuone
 
Jana nilileta uzi hapa wa mafuta ya upako kwa waislamu. Mwislamu mmoja asiyejua anayeitwa FaizaFoxy akasema yale si mafuta ni maji.

Sasa leo shehe huyu kaja kumjibu kuwa ni mafuta ya upako wa Allah. Pia amesisitiza umuhimu wa waislamu kupakwa mafuta haya.

Uzi wa jana:

Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
 
Back
Top Bottom