Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Mchezo wa soka ni moja kati ya michezo yenye mvuto na msisimko mkubwa, lakini pia ni mchezo wenye matukio mengi mazuri, mabaya na hata ya kuhuzunisha.

Yafuatayo ni baadhi ya maswali ambayo kwa namna fulani yamekosa majibu ya moja kwa moja.
1. Pele na Maradona ni nani Mchezaji bora wa wakati wote

2. Ronaldo na Messi ni yupi Mchezaji bora kuliko mwenzake?

3. Kati ya Ronaldo, Thiery Henry na Denis Bergkamp yupi ni mchezaji bora zaidi wa kigeni kucheza EPL?

4.Nini chanzo cha ugomvi baina ya Zidane na Marco Materazzi katika fainali ya world cup 2006?

5. Barcelona ya 2009-2011 na Brazil ya 1970 iliyochukua ubingwa wa dunia, ipi ni timu bora zaidi katika historia ya soka?

6.Kombinesheni ya Frank Lampard na Steven Gerrard katika timu ya taifa ya England imewahi kuwa na mafanikio?

7.Nani alikuwa fundi zaidi kati ya Zidane na Gaucho?

Weka na wewe Maswali yako unayohisi hayajawahi kuwa na majibu halisi.
 
Yamekosa majibu kwa mujibu wa nani?

1.Pele, ana mafanikio makubwa ki-soka, + ni mfano m'zuri kwa jamii. Hakuna unachoweza kujifunza kutoka kwa teja na mropokaji.

2. Messi, ana-ofa vitu vingi zaidi.

3. Cristiano. Ballon d'or, Champs league, golden boot.

4. Maneno machafu ya Materazzi.

6. Timu ya taifa ya England haijawahi kuwa na mafanikio katika kipindi cha hao jamaa.

7. Zidane. Consistent, discipline, more individual success, team leading qualities.
 
Mleta hoja HUJAJIPANGA, eti maswali yaliyokosa majibu, MBONA YAMEJIBIWA VEMA!
 
Cristiano ronaldo kumfananisha na "magic messi" huko ni kumtukana messi, messi is ana amazing player existed in this planet. Then zidane na Ronaldinho gaucho huo utakuwa utani aisee, Gaucho ni mtu aliyeujua mpira kuliko player mwingine na cidhani km kuna player atakuja kuonesha ufundi km dinho kwenye kizazi hiki cha akina baloteli+rooney+neymar jr+etc. So stop comparing dinho na huyo kipara zidane.
 

watakuja hapa na kusema Gaucho ni noma kuliko huyu fundi Zidane.
 
1-Aseee Maradona kakuta mpira ushakomaa,Enzi za pele hata offside hakuna.


2-Messi na Ronaldo kiukweli messi kafanikiwa sana kuliko Ronaldo kwa ngazi ya vilabu,Messi ni kipaji halisi...

3-Kwa iyo List ni Ronaldo aliyefanikiwa sana Kwa Epl mpaka kuchukua Ballon Dor


4-Inavyosemekanaaa Materaz alimtukana Zidane kuhusu dada ake lakini mwenyew alikanushaa kwenye kitabu chake....


5-Acha kabisa barca ya 2009-2011 imetesa wengi bana,nazani ndo timu ambayo ukiingia kucheza yao unajua ushafungwa...


6-Frank Lampard na Steve G kama mafuta na maji hawawez kukaa pamoja labda kama wangecheza kwa pamoja muda mrefu yan ngazi za filabu,kuhusu mafanikio England hainaga mafanikio tangu 1966


7-Kwa ufundi Gaucho ila zidane ndo mchezaji aliyekamilika zaidi kww wachezaji niliobahatika kuwaona.
 

1.pele

2.messi

3.thiery henry "chogo"

4.lugha chafu

5.brazil ya 1970

6.hapana

7.gaucho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…