Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Maradona ni hatari zaidi ya Pele.

Messi hana mfano wake.

Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.

Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.

Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.

Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.
 
Mkuu nafikir umemaliza kila kitu
 
hakuna wa kumlinganisha na ronaldinho mpaka sasa, unaweza kumlinganisha kwa baadhi tu, mfano ufungaji wa ronaldinho na mchezaji fulani lakini sio kipaji chake, alikua na kipaji cha pekee huyu super
Cjawahi kusikia, mchezaji anafananishwa na gaucho.....utasikia new pele, new mess, new maradona na wa wjingawajinga wengine, gaucho ni nabii wa soka.
 
Mchezo wa soka ni moja kati ya michezo yenye mvuto na msisimko mkubwa, lakini pia ni mchezo wenye matukio mengi mazuri, mabaya na hata ya kuhuzunisha.

Yafuatayo ni baadhi ya maswali ambayo kwa namna fulani yamekosa majibu ya moja kwa moja.
1. Pele na Maradona ni nani Mchezaji bora wa wakati wote

2. Ronaldo na Messi ni yupi Mchezaji bora kuliko mwenzake?

3. Kati ya Ronaldo, Thiery Henry na Denis Bergkamp yupi ni mchezaji bora zaidi wa kigeni kucheza EPL?

4.Nini chanzo cha ugomvi baina ya Zidane na Marco Materazzi katika fainali ya world cup 2006?

5. Barcelona ya 2009-2011 na Brazil ya 1970 iliyochukua ubingwa wa dunia, ipi ni timu bora zaidi katika historia ya soka?

6.Kombinesheni ya Frank Lampard na Steven Gerrard katika timu ya taifa ya England imewahi kuwa na mafanikio?

7.Nani alikuwa fundi zaidi kati ya Zidane na Gaucho?

Weka na wewe Maswali yako unayohisi hayajawahi kuwa na majibu halisi.

Majibu ni kama ifuatavyo kutokana na maswali yako, hii ni kwa mujibu wangu mimi mdau wa soka:
1. Swali la kwanza naweza kusema Maradona kwa sababu zifuatazo: Pele alicheza soka na kuwika sana miaka ya 50 mpaka 60 mwishoni. Kutokana na mbwembwe zake za kipindi kile alionekana ni mchezaji bora duniani kwa sababu alikuwa anacheza na wapinzani ambao walikuwa more pedestrian than himself na mpira wa kipindi kile ulikuwa hauna utaalam zaidi ya kufuata formation na kila mchezaji alimkaba mtu wake.
2. Swali la pili nafikiri Messi ni zaidi kwa sababu ni mchezaji anayecheza kitimu zaidi kuliko CR7 anayejali zaidi rekodi binafsi na hachezi kitimu.
3. Kwa swali la 3 naweza kusema CR7 kwa sababu alileta changamoto zaidi kwa timu pinzani japo wote uliowataja walikuwa hatari.
4. Ugomvi wa hawa jamaa ulitokana na Materazzi kutukana dada wa Zizzou na kutukana familia yake.
5. Swali la 5 jibu ni Barca kwani Brazili ya 1970 ilikuwa inaishia ukingoni na timu nyingi za kipindi kile zilikuwa hoehae.
6. Ile kombinantion ni ya kijinga kwani jamaa waliwika sana kwenye vilabu vyao ila katika timu ya taifa hawakuweza kutamba na dunia iliwashangaa.
7. Mkuu wacha utani, hata kwa akili yako unaweza kuniambia kuwa Gaucho alikuwa fundi zaidi ya Zizzou? Zizzou ni mrusha mabomu ya uhakika, jamaa ni computer wa karne ijayo. Nawakilisha.
 
UMEMALIZA KILA KITU ,MJADALA UFUNGWE
 
1-si ya-kuuliza anajulikana ni DIEGO ARMANDO
2-si ya kuuliza anajulikana ni LEONEL MESSI

3-Ronaldo & Henry

4-Kuna mawili yasemekana 1-alimtukania dada
yake,2-alimwambia Gaidi mmoja wewe

5-Barcelona ya 2009 & 2011,, huyo brazil alikutana na vitimu dhaifu sana pia hakuwa na chchte cha kuvutia.

6-------

7-Zinedine Zidane zizzle weka mbali na huyo Mauno & Misifa,ni aibu kumfananisha na kijana wetu wa Africa (Algeria) Aliyekubalika duniani kote

8-

Back
Top Bottom