DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
5. Barcelona ya 2009-2011 ndio bora zaidi kama klabu maana ilibeba vikombe vingi kuliko Brazil ya 1970 kama timu ya taifa
Kula rike mukuu twende sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5. Barcelona ya 2009-2011 ndio bora zaidi kama klabu maana ilibeba vikombe vingi kuliko Brazil ya 1970 kama timu ya taifa
Cristiano ronaldo kumfananisha na "magic messi" huko ni kumtukana messi, messi is ana amazing player existed in this planet. Then zidane na Ronaldinho gaucho huo utakuwa utani aisee, Gaucho ni mtu aliyeujua mpira kuliko player mwingine na cidhani km kuna player atakuja kuonesha ufundi km dinho kwenye kizazi hiki cha akina baloteli+rooney+neymar jr+etc. So stop comparing dinho na huyo kipara zidane.
Timu ya Taifa ndani ya miaka 4 inagombania vikombe 2 au 3 while Klabu kwa msimu mmoja tu inagombania makombe 4 kwa miaka 4 klabu ina posibility ya kugombania vikombe 20 while timu ya Taifa inagombania vikombe 3Kula rike mukuu twende sawa
Yamekosa majibu kwa mujibu wa nani?
1.Pele, ana mafanikio makubwa ki-soka, + ni mfano m'zuri kwa jamii. Hakuna unachoweza kujifunza kutoka kwa teja na mropokaji.
2. Messi, ana-ofa vitu vingi zaidi.
3. Cristiano. Ballon d'or, Champs league, golden boot.
4. Maneno machafu ya Materazzi.
6. Timu ya taifa ya England haijawahi kuwa na mafanikio katika kipindi cha hao jamaa.
7. Zidane. Consistent, discipline, more individual success, team leading qualities.
kama zidane na ronaldinho ni rahisi kulijibu
hahaha...Ronaldo alipotea sana siku ya fainal
Austin JAY JAY OKOCHA
Yamekosa majibu kwa mujibu wa nani?
1.Pele, ana mafanikio makubwa ki-soka, + ni mfano m'zuri kwa jamii. Hakuna unachoweza kujifunza kutoka kwa teja na mropokaji.
2. Messi, ana-ofa vitu vingi zaidi.
3. Cristiano. Ballon d'or, Champs league, golden boot.
4. Maneno machafu ya Materazzi.
6. Timu ya taifa ya England haijawahi kuwa na mafanikio katika kipindi cha hao jamaa.
7. Zidane. Consistent, discipline, more individual success, team leading qualities.
Wewe ile brazily ya 1970 iache kama ilivyo hapa kila mchezaji alikua kwenye kiwango chake ila pelle alikua star wa ukweli sehemu hii 1970 hapa alichaguliwa kua mchezaji bora wa kombe la dunia mwaka huo huku brazili ilkitwaa ndoo hiyokuna wengine wanadai Barcelona ya 2009-2011 ilikuwa hatari zaidi kuliko Brazil ya 1970
hakuna wa kumlinganisha na ronaldinho mpaka sasa, unaweza kumlinganisha kwa baadhi tu, mfano ufungaji wa ronaldinho na mchezaji fulani lakini sio kipaji chake, alikua na kipaji cha pekee huyu super
CIA hawakutaka Brazil ichukue ubingwa8. Kitu gani kilitokea kwa Ronaldo De Lima kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia mwaka 1998?
Tangu nimeanza kuangalia nafurahi Sana kuwa mmoja ya watu walioshuhudia kumuona fundi gaucho katika soka binafsi hakuna Kama gaucho.
good point, ingawa nina tofautiana na ww kwenye suala pele na diegoMaradona ni hatari zaidi ya Pele.
Messi hana mfano wake.
Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.
Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.
Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.
Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.
Pele halinganishwi na yeyote mpaka sasa
Messi amefika robo tu ya uwezo wa pele
ww zizzou noma, huyo anayesema gaucho ni bora kuliko zizzou labda hajui vitu muhimu kwenye mpira, yy anapenda madoido, muulize aliangalia world cup france vs brazil, zizzou aliwafanya vibaya kaka na gauchoKwa messi umeongea point big up sana:
Mkuu Hili swali huwa nakosa jibu lake kila napouliza kwa wapenzi wa gaucho na ndio wanaosumbua humu na ni wachache mno hawazidi watano!
Naomba unijibu kitaaram ira usisepe tu mkuu kama wengine.
Kama ni kweri gaucho ni mchezaji wa muda wote
Naomba unipe evidence kama ifuatavyo;
Je yumo katika top 30 ya wachezaji bora? Na kama yumo naomba utuonyeshe sasaiv
Je huyo gaucho ana ubora upi wa kumzidi Zinedine Zizzle? naomba facts,evidence and statistics....Ukienda top 10 ya mabest players utakutana na Zidane, lakini huyo Gaucho humpati!
Naomba uniletee majibu mazuri yalioenda shule
Mkuu nafikir umemaliza kila kitu
kaka kumbe uliona ,achana na zizzou, we unafikiri Italy wajinga mpaka wakafanya sabotage kumtumia materazi hili zizzou atolewe,Ha ha ha haaa Zidane alipiga watu kanzu hiyo cku, alianza na gaucho then ronaldo, in-short aliwadhalilisha brazil
We ndio maandazi mi nazungumzia ubora wa uwanjani rekodi bora kuliko wote huyu ni pele tu hakuna nwingineWewe ni shabiki mandazi...niambie diego alipata asilimia ngapi katika uchaguzi uliofanyika 1990, na huyo babu yako anaye muhusudu messi mwenye roho ya korosho kapata asilimia ngapi naomba jibu sitaki majibu ya mdomoni.
ww zizzou noma, huyo anayesemagaucho ni bora kuliko zizzou labda hajui vitu muhimu kwenye mpira, yy anapenda madoido, muulize aliangalia world cup france vs brazil, zizzou aliwafanya vibaya kaka na gaucho