Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka


Fact
 
Cjawahi kusikia, mchezaji anafananishwa na gaucho.....utasikia new pele, new mess, new maradona na wa wjingawajinga wengine, gaucho ni nabii wa soka.

Hajafikia level ya Zidane,kempes and Requelme.kwa akina Messi Diego, Puskas, Cruyff, alfredo and Pele ataweza? Tena hilo asahau kabisa
 
hakuna wa kumlinganisha na ronaldinho mpaka sasa, unaweza kumlinganisha kwa baadhi tu, mfano ufungaji wa ronaldinho na mchezaji fulani lakini sio kipaji chake, alikua na kipaji cha pekee huyu super

Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake, hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa. Je kwa baba zake ataweza? I means MESSI DIEGO AND PELE!!
 
Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake, hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa. Je kwa baba zake ataweza? I means MESSI DIEGO AND PELE!!

Apo sikubaliani naweye mkuu. Ronaldo de lima, Rui Costa, Totti, Del Piero, Ortega, Aimar, Rivaldo. Walikua wachezaji wakiwango cha juu sana. Sometime you need Luck ili uwe top tu. Na hiyo ndio aliyokuanayo Zidane.

Kama ulikua mdau wa Kabumbu miaka ile kumbuka marangapi mzee upara alishatolewa nishai uwanjani Na Rui Costa, Totti au Pablo Aimar.
 

Mkuu kwa upande wangu. Zidane, Requelme and Oriel Ortega nilikuwa nawakubali sana,, na hata Pablo Aimar, De lima,Rui costa mportugal huyu, Zambrotta, Juanfranco Zola and Delpiero nilikuwa nawakubali pia. Lakini hao wa mwanzo walikuwa ni fire wakuotea mbali kiongozi wangu.
 
Tupeni na timu gani ya taifa inayoongoza kwakupata vipigo mwishowe wanazingizia kocha na maandalizi mabovu!
 

Del Piero alikua zaidi ya Zidane wakati wakiwa pamoja Juventus. Injury ndizo zilizo muua. Nakubali ki skills Zidane Alikua better kuliko wengi niliowataja lakini ki overall performer mkuu ao watu wote walikua Noma.
 
Majibu yangu
1. Pele
2. Messi
3. Thierry henry
4. Ni maneno ya kejeli toka kwa materazzi
5. Brazil
6. Haijawahi
7. Gaucho ni fundi ila zidane ni bora zaidi.


Km kuna mengine leta mkuu
 
Gaucho alikuwa fundi kweli kweli, ila zizzou alikuwa bora zaidi.
 
5. Barcelona ya 2009-2011 ndio bora zaidi kama klabu maana ilibeba vikombe vingi kuliko Brazil ya 1970 kama timu ya taifa
Ubora wa vikombe au soka lililokuwa linatandazwa!!?
 
Hao wote uliowataja hapo juu kwa zidane kuna vitu walikiwa wanazidiwa, zidane alikiwa mtu hatari, kaangalie game moja madrid vs valencia humo pablo aimar anapiga mpira mwingi mnoooooooo, ila touch 3 tu za zidane zinamaliza mchezo.
 
Maneno machafu ya Materazzi?!
Alisemaje labda tuanzie hapo
 
Hao wote uliowataja hapo juu kwa zidane kuna vitu walikiwa wanazidiwa, zidane alikiwa mtu hatari, kaangalie game moja madrid vs valencia humo pablo aimar anapiga mpira mwingi mnoooooooo, ila touch 3 tu za zidane zinamaliza mchezo.
Unamsifia Mtu kwa mechi moja??
Nyie ndio wale mnaomsifia na kumlinganisa Van Djiyk na Paolo Maldini.
 
Jamani,hata leo hii uniambie kati ya messi na gaucho nani zaidi nitakwambia gaucho sasa kweli ndio umlinganishe na zidane?
 


1 Diego armando Maradona weka mbali na uyo mbabu
2 Messi hana mfanoe katika wachezaji wote
3 Cr7
4 maneno machafu
5 Barcelona iliyochukua ubingwa mara nyingi na uchezaji wake wa aina yake usilinganishe na hao brazili waliochukua mara moja.
6 Hapana
7 Zidane mtu wa kazi na show kidogo,,,gaucho mtu wa show mafanikio hewa.


Mussolin5
 

Mwenye kipaji chake katika ichambuzi,,,,,,ubarikiwe sana Mkuu Mkereketwa_Huyu ✔✔✔✔✔✔✔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…