Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Mchezo wa soka ni moja kati ya michezo yenye mvuto na msisimko mkubwa, lakini pia ni mchezo wenye matukio mengi mazuri, mabaya na hata ya kuhuzunisha.

Yafuatayo ni baadhi ya maswali ambayo kwa namna fulani yamekosa majibu ya moja kwa moja.
1. Pele na Maradona ni nani Mchezaji bora wa wakati wote

2. Ronaldo na Messi ni yupi Mchezaji bora kuliko mwenzake?

3. Kati ya Ronaldo, Thiery Henry na Denis Bergkamp yupi ni mchezaji bora zaidi wa kigeni kucheza EPL?

4.Nini chanzo cha ugomvi baina ya Zidane na Marco Materazzi katika fainali ya world cup 2006?

5. Barcelona ya 2009-2011 na Brazil ya 1970 iliyochukua ubingwa wa dunia, ipi ni timu bora zaidi katika historia ya soka?

6.Kombinesheni ya Frank Lampard na Steven Gerrard katika timu ya taifa ya England imewahi kuwa na mafanikio?

7.Nani alikuwa fundi zaidi kati ya Zidane na Gaucho?

Weka na wewe Maswali yako unayohisi hayajawahi kuwa na majibu halisi.

Yamekosa majibu au huna weye majibu?

1. Technical maradona alikua zaidi ya pele.
2. Kumfananisha messi na ronaldo, ni kudhalilisha mchezo wa mpira. Messi ni classy kwa kila idara.
3. Hivi kwanza ronaldo aliingiaje kwenye list ya all time uchezaje bora wa kigeni EPL? anakipi kikubwa alichofanya pale? Unafaham nini Henry, Zola,Pires, Beckamp, Silva, Cantona wamefanya ndani Epl?
4. Hilo kweli ni pekee kati ya hayo lililokosa majibu.
5. Brazil ya 1970 ilikua ni something else. (Plus pia jaribu kutafuta Brazil ya 1982 mkuu.)
6. Hivi weye uliyaona hayo mafanikio kwani?
7. Zidan alikuwa better player than Ronaldinho ilo halina ubishi.
 
Cristiano ronaldo kumfananisha na "magic messi" huko ni kumtukana messi, messi is ana amazing player existed in this planet. Then zidane na Ronaldinho gaucho huo utakuwa utani aisee, Gaucho ni mtu aliyeujua mpira kuliko player mwingine na cidhani km kuna player atakuja kuonesha ufundi km dinho kwenye kizazi hiki cha akina baloteli+rooney+neymar jr+etc. So stop comparing dinho na huyo kipara zidane.
Pengine umri haukupi nafasi ya kumjua Zizzou vyema. Zinedine Zidane alikuwa match decider na sio mcheza show. Na ndio maana France yake iliukamata ulimwengu zaidi ya Brazil ya Ronaldinho
https://www.youtube.com/watch?v=bKMZmEeqHQA
 
Untaka kuniambia wewe unaakili nyingi sana kuizidi FIFA na MASHABIKI duniani kote waliomchagua DIEGO sindio?

Asilimia 58 na point. alizopata maradona kutoka kwa mashabiki duniani, na fifa kutangaza matokeo hayo ni wajinga sana eti?????..wakati pele kaambulia asilimia 18 tu, wewe kubali tu shabiki mandazi na hujui chochote about soccer, upo upo tu.
Wengi ni vijana na awakumuona Pele the don,but Pele ndo wakarne huyo
 
Wewe hujui ukiongeacho,ilimradi tu na wewe uonekane umechangia!

Siwezi kubishana na wewe uliyezaliwa 1994 unanipotezea muda, hao wachezaji uliowataja hawamo hata 30 bora. Wewe unaonekana ni mshabiki wa timu flan ndiomaana umewajaza hao vilaza wasiojulikana katika media,fifa na mashabiki duniani.

Hapo best players ni 1-Messi 2-Diego 3-Zidane 4-pele.
Hapo na kukosoa ni1,Pele,2maradona,3messi
 
Poa mkuu! Sasa why unakataa Diego si mchezaji bora wa dunia kumzidi pele? Kwani hizo kura alizopata yeye Diego kutoka kwa mashabiki wanaomkubali duniani, na fifa ikamtangaza kutokana na hizo kura alizopata =asilimia 58 je ni za uongo?
Ni uongo coz ushindi waligawanywa,na afu wengi ni vitoto havikumuona Pele mnyamal
 
  1. Diego maradona
  2. King Messi
  3. Cr7 and Berkamps
  4. Maneno machafu
  5. Barcelona
  6. Nothing
  7. Ustazi zinedine hakuwa na mpinzani labda Requelme kwa mbali though hukumweka

Sina swali my friend Mussolin5! Maana mpaka sasa bado sijaona wa kumfikia Messi wala Diego! Thank you
Kaangarie rekodi
1,Pele
2,maradona
3,messi&cr7
 
Pele ndo alichukua,kaangalie takwimu ujue moja ni nani

Pele wengi hawakumuona but ndo number moja duniani


Pele forever


Wengi ni vijana na awakumuona Pele the don,but Pele ndo wakarne huyo


Pele oyyyeeee

Sio wa haki,Pele amemzidi kila kitu uyo andunje

Pele player of the century's


Zidane sio namba tatu umelewa


Hapo na kukosoa ni1,Pele,2maradona,3messi


Ni uongo coz ushindi waligawanywa,na afu wengi ni vitoto havikumuona Pele mnyamal

Unaonekana unampenda maradona acha unazi wa kiboya,na utoe hiyo picha hapo fasta uweke ya Pele
1,Pele
2,maradona
3,messi&cr7


Kaangarie rekodi
1,Pele
2,maradona
3,messi&cr7


Rekodi ndo zinasema



Masikini ya Mungu yani unatangatanga tu kijana, tazama comments ulizopost alafu jitathimini upya...so sina haja tena ya kwendelea,, nakuona bado sana kwenye haya mambo...maana sijaona hoja ya maana hapo except unarudiarudia tu. Mchana mwema!!!!
 
Maradona ni hatari zaidi ya Pele.

Messi hana mfano wake.

Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.

Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.

Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.

Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.

Fact Kabisa. God bless you Mchochezi!
 
Back
Top Bottom