Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
Unaripoti ukiwa....Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
Mi mwanahabari hizo ni HABARI ni taaluma yangu ni kazi yangu,Hayo ni maisha Binafsi ya mtu; YANAKUHUSU NINI?
Hivi unajua KUJIPENDEKEZA kuandika maisha ya mtu bila idhini yake unaweza kufungwa + faini ya mamilioni
Hapana njoo getoo, utapata jibu hallisiWewe si mtoto wa kiume lakini ?
Eneo la tukioUnaripoti ukiwa....
Una kichaaa cha mimba sio Bure poleeeeeeIli iweje we mbuzi.
yuko dasilamu auHuyu demu kazingua sana mavazi gani haya ka mganga
Mi mwanahabari hizo ni HABARI ni taaluma yangu ni kazi yangu,
Nilicho kigundua una wivu na maendeleo ya wengine
Mzawa kabisa hapa town ila kaniangusha, all way up 40 ime shineyuko dasilamu au
Wasomi bhana sasa Kuna haja gani ya kufika huko kote, anyway Niko back of the board ila ukiniona unatetemeka na kuanguka Kwa juu, am the big then you thinkUandishi wa habari ni kuandika maisha ya mtoto wa mtu tena mwezi miezi ambaye hawezi hata kujitetea?
Hizo taaluma za uandishi wa habari mnasomea wapi?
Article 16 of the Constitution of the United Republic of Tanzania (1977) lays the foundational right, stating that; every person is entitled to respect and protection of their person, family, matrimonial life, residence, and private communication
Huyu si yule Karen?Huyu demu kazingua sana mavazi gani haya ka mganga
Ndio yeye mtoto wa marehemu Fulani, ila sijajua kwanini alivaa hivo yani in short haileti akilini kabisaHuyu si yule Karen?
Usikaze ubongo kwenye vitu vidogo kama hivi kila issues zina majukwaa yake hili sio jukwaa la siasa ni la burudani kama upendi haikuwa na haja ya kuingiaUandishi wa habari ni kuandika maisha ya mtoto wa mtu tena mwezi miezi ambaye hawezi hata kujitetea?
Hizo taaluma za uandishi wa habari mnasomea wapi?
Article 16 of the Constitution of the United Republic of Tanzania (1977) lays the foundational right, stating that; every person is entitled to respect and protection of their person, family, matrimonial life, residence, and private communication
Nimemsikia akisema eti ameenda kula 🤣Ndio yeye mtoto wa marehemu Fulani, ila sijajua kwanini alivaa hivo yani in short haileti akilini kabisa
Mkuu achana nae, Bado NAJIULIZA huyu ni nani na ametoka wapi na anataka Nini, Kwa sababu gani je is he mentally fitUsikaze ubongo kwenye vitu vidogo kama hivi kila issues zina majukwaa yake hili sio jukwaa la siasa ni la burudani kama upendi haikuwa na haja ya kuingia