Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

Acha shobo na uzushi.Mbona Baadhi ya Mawaziri walikuwa na utajiri hivyo hivyo awamu ya 5? Wakitumbuliwa huoni timu wakipewa timu zinafufuka Sasa si ni kawaida hiyo au?
 
Kwani mawaziri hawaruhusiwi kuwa matajiri?
 
Samia Samia Samia!!

Nakuita tena Samia!! Samia umeharibu nchi umeharibu nchi!!

Mpaka mwisho wa 2025 nchi utakuwa umeiangamiza kabisa!!

Watanganyika hatutakusamehe dahali na dahali
 
Wakiwa majukwaani utasikia wakimsifu.
"Rais wa awamu ya sita mheshimiwa dokta Samia Suluhu Hasan"
Dokta haikosekani
 
Reactions: BRB
Kwani mawaziri hawaruhusiwi kuwa matajiri?
Wanaruhusiwa sana chini ya Awamu ya Sita ya mzanzibari mwenzako!!

Utajiri wa kupindukia ndani ya miaka Mitatu ni utajiri wa kipekee duniani!!

Wanaruhusiwa sana kwenye hii awamu yenu
 
Wanaruhusiwa sana chini ya Awamu ya Sita ya mzanzibari mwenzako!!

Utajiri wa kupindukia ndani ya miaka Mitatu ni utajiri wa kipekee duniani!!

Wanaruhusiwa sana kwenye hii awamu yenu
Kama u mkweli weka ushahidi.

Kwani Mzanzibari siyo Mtanzania?
 
Nilikuwa namshangaa sana Waziri wa maji,mbona kawa kimya ghafla,kumbe kalamba dume.Nimeshaelewa sasa.

Lakini ngoja niseme jambo.Nimenotisi kitu kimoja.Marais wetu waliokuwa Waislamu,wana one thing in common,they apparently have been the worst presidents:Mwinyi,Kikwete and now Samia.Misimamo yao ni very shaky,hawana hofu ya Mungu completely kwa hiyo wananchi kwao,si issue sana.

On the other hand Marais ambao walikuwa Wakristo:Nyerere,Mkapa na Magufuli ni very strong characters na hawayumbishwi kirahisi na somehow wana hofu ya Mungu.

Naomba niweke wazi kuwa hii ni observation yangu binafsi,which I can call a "Null Hypothesis."Somebody could take this hypothesis up and carry out research research on it, hasa wale wanao pursue Divinity.Study given samples of Atheists, Muslims,Mainstream Christians and Pentecostals,and see if some trends can be established.
 
Hata mie nikipewa uwaziri nitawapiga tuu. Grabbing 6 figure in $ and investing heavily in real estates. Bakini na uzalendo wenu wazalendo.
Dunia inapita na mambo yake mkuu,ila wewe unadumu milele.Please do not forget that we came to this world with nothing and we will leave with nothing.Itakusaidia nini kuupata Ulimwengu wote,halafu baadae uishiye jehanamu?
 
Huu uzi hauna muda mrefu, utafungwa for no further replies.
 
Kagombee na wewe ubunge uone kama ni rahisi. Acha wale mpk wavimbiwe. Siasa barani Afrika ni chanzo cha utajiri.

Mwanamke wa kwanza kwa utajiri barani Afrika ni binti wa rais wa zamani wa Sierra Leone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…