Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa ni nini hapo au wivu wako tu?waziri mkuu,wabunge ndio usiseme yani wananunua magorofa na kujenga
Acha shobo na uzushi.Mbona Baadhi ya Mawaziri walikuwa na utajiri hivyo hivyo awamu ya 5? Wakitumbuliwa huoni timu wakipewa timu zinafufuka Sasa si ni kawaida hiyo au?Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Kwani mawaziri hawaruhusiwi kuwa matajiri?Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
NIPO NA MKEO WAKO UTASIKIA WIVU.TUANZIE HAPOKosa ni nini hapo au wivu wako tu?
Samia Samia Samia!!Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Wanaruhusiwa sana chini ya Awamu ya Sita ya mzanzibari mwenzako!!Kwani mawaziri hawaruhusiwi kuwa matajiri?
Kama u mkweli weka ushahidi.Wanaruhusiwa sana chini ya Awamu ya Sita ya mzanzibari mwenzako!!
Utajiri wa kupindukia ndani ya miaka Mitatu ni utajiri wa kipekee duniani!!
Wanaruhusiwa sana kwenye hii awamu yenu
Assume una miaka hamsini ndio umepata uwaziri na ukaanza kuchuma dhambi ya wizi wa Mali ya umma, unadhani itakusaidia Nini wakati huo kisukari, presha na uzee vinakuandama.mimi mwenyewe nikipata nafasi nakula
Nilikuwa namshangaa sana Waziri wa maji,mbona kawa kimya ghafla,kumbe kalamba dume.Nimeshaelewa sasa.Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Dunia inapita na mambo yake mkuu,ila wewe unadumu milele.Please do not forget that we came to this world with nothing and we will leave with nothing.Itakusaidia nini kuupata Ulimwengu wote,halafu baadae uishiye jehanamu?Hata mie nikipewa uwaziri nitawapiga tuu. Grabbing 6 figure in $ and investing heavily in real estates. Bakini na uzalendo wenu wazalendo.
Huu uzi hauna muda mrefu, utafungwa for no further replies.Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Basi wa huyo wa ardhi utakuwa unakula nayeArdhi unamsingizia tu, ila hao wengine ni kweli kabisa.
Wanakula kwa urefu wa kamba zao
Ni swali zuri,ila Nyani anaweza kumfunga Ngedere kengele kweli,no way.Sasa nani atawafatilia