Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kigogo kasema anakubali sasa Shujaa Magufuli alikuwa sahihi!Unazungumzia Fedha na Nishat?
Naona ndugu Kigogo yupo busy kwenye mission maalum dhidi ya mmoja wao.
Ujinga kweli
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.
Utasikia mara yule kawa hivi ama vile ili mradi wachafuane tu.
Je, huenda kupo kutoelewana kwao wakubwa wale?!