Baadhi ya Mawaziri wa Rais Samia hawaelewani?

Baadhi ya Mawaziri wa Rais Samia hawaelewani?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.

Utasikia mara yule kawa hivi ama vile ili mradi wachafuane tu.

Je, huenda kupo kutoelewana kwao wakubwa wale?!
 
Kawaida sana hata YESU alisema hakuja kuleta amani duniani.

USSR
 
Wararuane tu sisi tunapambana na hali zetu bora wao wanalamba asali.
 
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.

Utasikia mara yule kawa hivi ama vile ili mradi wachafuane tu.

Je, huenda kupo kutoelewana kwao wakubwa wale?!

Sijui lakn nachoamin ni kuwa mwigulu huwa hawapatani maisha,na inawezekana bifu likazidi sahiv kwasabu ashatu anaitaka sana wizara ya fedha na ndo lilikua bifu lake na wazir mkuu
 
Back
Top Bottom