Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
 
Nimeblock local channels zote nyumbani kwangu nimeacha za michezo ,katuni za masomo (sio katuni za kijinga) chaneli za dini ya kikristo,aljazeera, BBC,fox, Russia today, France 24 na CNN,zilizo bali nimezilamba ban la maisha

USSR
 
Sema ni fursa hiyo kwa atakayeweza kufungua media za 'mambo ya maana'

Wengi wanapenda kubisha kwamba labda hizo media zitakosa wafuatiliaji ila ni suala la packaging tu

Angalia jinsi the storybook ya wasafitv inavofanya watu wapende habari za kuboa kama za kihistoria kwa kutumia storytelling nzuri
 
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
Utashangaa Tamko la TLS kuhusu utekaji lenye list ya watu 80+ waliotekwa na baadhi ya wahusika kutajwa, hakuna media hata moja iliyoongelea suala hili​
 
Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa.

Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika.

Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza.

Viongozi mko wapi?

Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
Mfumo ndiyo unataka media
Ziwe hivyo

Ova
 
Back
Top Bottom